mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
kabla ya kuuliza makabila yao uliuliza utendaji wao na elimu zao kwa nafasi hizo kama zinaendana? au ulianza kuuliza kabila na kuacha welezi ,uwezo na elimu?
asante mkuu,katibu wa waziri mkuu mchaga anaitwa penieli lyimo je ameteuliwa kikabila au ni utendaji wake na elimu yake imemuwezesha aende kilimanjaro aone ni jinsi gani wazazi wa kichaga wanavyokazana kusomesha watoto wao,mfano mimi nina kadigrii kangu kamoja nina mpango wa kuchukua master,yeye anadhani sisi tunakazania madrasa na kiarabu.aache wivu wa kike asome