WORLD VISION ni shirika la wachaga??

WORLD VISION ni shirika la wachaga??

Status
Not open for further replies.
Jaribu kupita vyuo vya elimu ya juu,kati na vya ufundi uone ni kabila gani wanaongoza kwa wingi then uje na madai yako hapa.kuna siku nilizunguka shule za msingi mkoa wa singida kila shule ina mwalimu mchaga.
 
kwa nini world vision kwenye interview wanauliza maswali ya kwenye vifungu vya biblia mkuu..?

Tanzania

World Vision Tanzania is a

Christian relief,

development and
advocacy

nongovernmental

organisation (NGO)

which started

in 1981 as part of World

Vision

International Kenya.

This followed


a pastors’ conference in Dodoma

involving 550 church leaders that

was held in 1970, and other
subsequent opportunities leading
to the start of World Vision
Tanzania.
In 1983, child sponsorship
programmes were launched,
benefiting 7,124 children. In the
same year, non-sponsorship
development projects and one
evangelism project were initiated.
World Vision Tanzania has
operations in 13 out of 30 regions
in the country, clustered in five
zones. Every zone has between 12
and 16 Area Development
Programmes (ADPs), managed by
programme coordinators.
Operating in 62 ADPs and with 6
grants and 53 private non-
sponsorship projects, the office
impacts the lives of more than 3.3
million Tanzanians, including 1.2
million children.
 
sikatai kuwa kuna weza kuwa na kaupendeleo. lakini niweke wazi maeneo mengi tz yanatofautiana itikadi. moja ya itikadi ya wenzetu huko moshi ni kusomesha watoto.

kuna familia nyingi unakuta kipaumbele ni mme kuowa na mke kudai talaka na watoto kulelewa bila muelekeo. sisemi kuwa hawawezi toka wasomi lakini mazingira sio user friend. mbona wahaya ndio wanaongoza kufundisha vyuoni hujasema?
Pia shirika inategemea limeanzia kufanya kazi wapi tangu limeingia nchini, sasa likianzia mikoa ya kaskazini ambapo tayari kuna mijitu kibao ina vyeti vyao unategemea nini? kila mtu ana attempt usishangae 90% ya application zinatoka huko. Niliwahi kufanya kazi sehemu wilayani, wakazi wa pale wakawa wanalalamika shirika linachukua watu wa nje ya mkoa ule (jibu lilikuwa nafasi zinatangazwa kwenye gazeti kila mtu anaomba, wakaulizwa qualification zao zikawa chini ya kiwango)
 
world vision ni shirika la kibaguzi sana.. kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia,, yani kama wewe sio mchaga na mkristo hupati kazi hapo

World Vision Tanzania is a
Christian relief, development and
advocacy nongovernmental
organisation (NGO) which started
in 1981 as part of World Vision
International Kenya. This followed
a pastors’ conference in Dodoma
involving 550 church leaders that
was held in 1970, and other
subsequent opportunities leading
to the start of World Vision
Tanzania.
 
hi cyo zama yakusema eti wachaga ndyo wamesoma sna kuliko wenzao hapana.ckuhz hata vjjn wapo wasomi.WACHAGA NIWABAGUZ
 
Mkuu, wewe uliulizwa kifungu gani?

yani unaomba kazi ya uhasibu. unaulizwa habari za yohana mbatizaji...! sasa biblia na mahesabu wapi na wapi? naomba serikali ilifukuzie mbali hili shirika la kibaguzi
 
Ww ulitegemea umkute ------ labda picha yake kama ilivyo kwenye ofis nyngne
 
World Vision Tanzania is a
Christian relief, development and
advocacy nongovernmental
organisation (NGO) which started
in 1981 as part of World Vision
International Kenya. This followed
a pastors’ conference in Dodoma
involving 550 church leaders that
was held in 1970, and other
subsequent opportunities leading
to the start of World Vision
Tanzania.

hawa wamisionari warudi kwao. tanzania hatuna dini.. hili shirika lifukuzwe tanzania
 
hili shirika linaendekeza sana ubaguzi wa kikabila na kidini halina tofauti na chadema
 
world vision waondoke nchini hatuwataki.. wakaendeleze ubaguzi wao huko kwao
 
kabla ya kuuliza makabila yao uliuliza utendaji wao na elimu zao kwa nafasi hizo kama zinaendana? au ulianza kuuliza kabila na kuacha welezi ,uwezo na elimu?

Sure aisee. Usikimbilie kutazama kabila la mtu, bali utendaji wa kazi wa Mtu. Je, wewe pia kujaupata huo ukuu wa ADP?
 
Mtoa mada kabla hujapost tumia akili, kama huna akili tumia makalio kufikiri, huwezi kuja na kuchafua makabila ya watu bila utafiti wa kina. Ungeeleweka zaidi ungekuja hapa ukaweka majina ya hao unaodai ni wachaga, halafu hapo tungehoji kwanini ni wachaga?

Binafsi nimetembelea ADPs nyingi, sijaona upuuzi wa huyu mpuuzi. Mbona wewe usitaje kabila yako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom