World Vision is not Equal Opportunity Employer (EOE)
kweli kabisa mkuu
World Vision is not Equal Opportunity Employer (EOE)
Ulikuwa unapeleka mafenesi,wewe uliishi kama mpitaji huna unachojua kuhusu Moshi,uko msaranga sasa ni shant ndogo,ukitaka kuamini wauza gongo moshi ni waswahili nenda kwa mtei na njoro wamejazana wanauziana magongo kwenye vijumba vyao vimechoka,nyie ni laana hata mkisahaulika U.S.A mtakesha vijiweni na kwenye macamp..kiborloni nimeishi nakujua vizuri hunidanganyi sehemu hata moja kuanzia kdc,rau,majengo, shanty town ,mawenzi, mwereni primary pasua kwa wahuni, njoro, hunidanganyi kitu kuhusu moshi mkuu,
Ulikuwa unapeleka mafenesi,wewe uliishi kama mpitaji huna unachojua kuhusu Moshi,uko msaranga sasa ni shant ndogo,ukitaka kuamini wauza gongo moshi ni waswahili nenda kwa mtei na njoro wamejazana wanauziana magongo kwenye vijumba vyao vimechoka,nyie ni laana hata mkisahaulika U.S.A mtakesha vijiweni na kwenye macamp..
....
....World Vision idumu milele !!!
hii kitu nilianza kushika misimbazi yake nikiwa shule ya msingi....huko Kahama..Shy bush niliishi kama mfalme...
hili shirika tunalifuta tanzania
Nimeishi sana arusha na huku ndiko makao makuu yao na wana Projects nyingi sana wenyewe wanaziita ADP's cha ajabu kila ADP ofisini wote ni wachaga!
Nirudi kwenye mada, kuna watu hapa wanadai kuwa shirika limejaa wachaga kwasababu wao ati wamesoma sana, huo ni UONGO wa hali ya juu..
Mtoa Mada amepitwa na wakati: Kuanzia miaka ya 2007, Mkurugenzi wa Operation WVT (MHAYA) aitwae KAMARA (Engineer) aliingiza WAHAYA kibao:...
Naombeni mkasome n kudisscuss wachagga naona mnazidi kutupa promo...
Standard 7 yenu ni Taarabu Baikoko na Vigodoro, tukupe kazi utuletee mipasho ofisin??...
Tupa kule
Sisi tumetumwa hela Mangi wewe shangaa tu Bwashe...
#TeamWachagga
Yale masomo magumu ya kuwafanya wawe na sifa za kuwa madaktari au wafamasia si ndiyo hao vipanga wa kichaga wanaweza? Wachaga ni mitambo mingine!!! Chezea physics, chemistry, biology abd mathematics!!
K kubwa we! Kwa nini hauulizi Zanzibar nafasi zote za wizara ni waislam? Badili jina lako ujiite Mushi Kimaro kama issue ni ukabila ukaombe kazi. Njoo Nyarugusu tukufunze kuchimba dhahabu sio kuhubiri chuki we mtoto wa mama.
K kubwa we! Kwa nini hauulizi Zanzibar nafasi zote za wizara ni waislam? Badili jina lako ujiite Mushi Kimaro kama issue ni ukabila ukaombe kazi. Njoo Nyarugusu tukufunze kuchimba dhahabu sio kuhubiri chuki we mtoto wa mama.
Acha umbeya hata director wa WVT si mchagga mbona husemi wazungu? Msaidizi wake ni mhaya na wengineo ni mchanganyiko. Isitoshe kila sehemu ya kazi watu huingia kwa merits and mojawapo ni kuwa informed and to take the chance. If you will not be ready to take chances then utabaki kujisemea watengeneza ndege wote why ni wazungu? Think big hapa jamvini sio mahala pa kujadili umbeya na unafiki uzandiki. Jadili sense. Hata kama ni wachagga inakupa tabu gani? Chukua kabila lako pia wakaombe kazi hapo. Usitupotezee muda hapa jamvini kwa mada zako mbofu mbofu
hili shirika linaendekeza sana ubaguzi wa kikabila na kidini halina tofauti na chadema
Yawezekana vigezo vya kuwa mtambo vinamushker mbona kauchumi ka tz goigoi ndugu-Maana hao mitambo, vipanga wamejaa kila sekta