WORLD VISION ni shirika la wachaga??

WORLD VISION ni shirika la wachaga??

Status
Not open for further replies.
Si maendeleo tu, hata kwa usafi wanaongoza na tuzo walipata!!! Toa definition ya development au maendeleo!!! Tena basing on human development definition. Moshi wako juu. Kasome indicators of human development just google then uongee!!!! Wachaga juu zaidi.

pasua ,kiborloni, majengo, njoro kuna maendeleo gani zaidi ya wanywa gongo na banana tu
 
Kumbe wenu nilifikiri wa kwako,k'njaro hakuna wavivu,wapiga domo kama wewe,we endelea kukaa mwanelumango..

mlima kilimanjaro pamoja na vilele vyake kibo na mawenzi ni mali yetu mkuu. hahaha
 
pasua ,kiborloni, majengo, njoro kuna maendeleo gani zaidi ya wanywa gongo na banana tu

Nazungumzia maendeleo in totality!!!! Hata Scandinavian countries hasa Norway yenye the highest Human Development Index zipo pia sehemu ambazo ziko a bit far from the mean! Hivyo kiborlon na mengine ni machache tu mkubwa.
 
Bahati nzuri nina busara situmii maneno ya kihuni katika post zangu kamwe. Endelea kutoa povu na kuita watu majina ya vijiwe vya bangi na gongo. Msomi na mwenye busara ni lazima uwe na lugha ya busara. Hapa ni kweli tupu penda usipende. Chagaaaaaaaz hoyeeeeee, juuuu zaidi. Mnaogopwa kufa. Njooni huku muone mapovu ya gongo yanavyotoka kwa kasi. Tishio ati uncle.
Woyeeeeeeeee piga chini vilaza wote,wacha mapovu yawatoke...
Viva Chaggazzzzzzzzzz
 
crdb wafanyakazi wote ni wachaga.. hongera sana kikwete kwa kuwapunguza wachagga tra,, waondoe wote mpaka mkubwa wao kitillya

Kitilya mnafiki,alitaka kuendelea kuextend mkataba,alikua kaongea na marehem mgimwa wamuextendie mkataba,bahati mbaya mgimwa akaugua dili la kitilya likagonga mwamba,aliporudi ofcn akakuta afisa utumishi kafunga mlango,ameondoka kwa aibu sana pale.
 
Si maendeleo tu, hata kwa usafi wanaongoza na tuzo walipata!!! Toa definition ya development au maendeleo!!! Tena basing on human development definition. Moshi wako juu. Kasome indicators of human development just google then uongee!!!! Wachaga juu zaidi.

maendeleo ni pamoja na kuwa na viwanda vya kutosha vinavyotoa ajira kwa wakazi wa eneo husika. hebu nitajie viwanda vilivyoko moshi mkuu
 
Kitilya mnafiki,alitaka kuendelea kuextend mkataba,alikua kaongea na marehem mgimwa wamuextendie mkataba,bahati mbaya mgimwa akaugua dili la kitilya likagonga mwamba,aliporudi ofcn akakuta afisa utumishi kafunga mlango,ameondoka kwa aibu sana pale.

kitillya bora ameondoka, ameiharibu sana tra
 
Moshi ingewezekana kupata shamba ukweni ningeomba mnipe tu. Acha wenye mapovu waseme nimewekewa limbwata. Mtu mwenye kujalu maendeleo ni lazima aanzie kupekua njia za hawa wachapakazi
 
Uko ulikokutaja unaweza fananisha na Mwanelumango teh teh teh

huwezi fananisha kwa idadi ya wanywa gongo ha ha ha kiborloni kuna sehemu inaitwa msaranga,, huko ndio mitambo ya gongo inapatikana ha ha ha
 
Kitilya mnafiki,alitaka kuendelea kuextend mkataba,alikua kaongea na marehem mgimwa wamuextendie mkataba,bahati mbaya mgimwa akaugua dili la kitilya likagonga mwamba,aliporudi ofcn akakuta afisa utumishi kafunga mlango,ameondoka kwa aibu sana pale.

Kumbe!!!! Kwa hili siungi mkono. At 60 ondoka wengine wachukue. Ila nimegundua wazee wengi hata wakuwa na uwezo kifedha wanaogopa kustaafu. Harry Kitilya wana a family firm siku nyingi sana kabla hata ya kuwa na cheo serikalini sasa anahofu nini kustaagu? Kazi ipo.
 
maendeleo ni pamoja na kuwa na viwanda vya kutosha vinavyotoa ajira kwa wakazi wa eneo husika. hebu nitajie viwanda vilivyoko moshi mkuu

Hata vingekuweoo viwanda vingefisadiwa tu. Kwani vile viwanda vyoooote Tanzania mikoa mingine viko wapi!!?? Ni magofu yanahitajiwa yasafishwe??? Tanzania is no more industrialused!!!! Tuna processing industries kiasi!!! Heavy industries zero. Kwa hiyo viwanda kwa sasa kimebaki kigezo tu cha maendeleo TZ but not real!!! Na itatugharimu sana.
 
Kumbe!!!! Kwa hili siungi mkono. At 60 ondoka wengine wachukue. Ila nimegundua wazee wengi hata wakuwa na uwezo kifedha wanaogopa kustaafu. Harry Kitilya wana a family firm siku nyingi sana kabla hata ya kuwa na cheo serikalini sasa anahofu nini kustaagu? Kazi ipo.

Utamu wa tra unaujua au unausikia mkuu,hasa uwe kamishna,kila rushwa inayopigwa ya maana una sehem yako,mkakati wa kitilya kubaki pale ulikua mzito,bahati mbaya tu kwake aliyekua kampa uhakika alifariki.

Kufanya kaz gvt kuna utamu wake hasa ukiwa bosi,jiulize kwa nini watoto wa vigogo wasiendeleze miradi ya wazee wao lakin wanataka kaz serikalini,sehem nyeti!wanajua raha yake.
 
huwezi fananisha kwa idadi ya wanywa gongo ha ha ha kiborloni kuna sehemu inaitwa msaranga,, huko ndio mitambo ya gongo inapatikana ha ha ha
We zombi mkweli nenda ukapaone umekremisha eeh,uku mwanelumango kuna basi moja tu la kata ukilikosa huendi mjini mpaka kesho yake,ruti yake mpaka buguruni sheli linabeba wazaramo wote waje kushangaa wageni toka mikoani wanavyoporomosha majengo,biashara na kila aina ya maendeleo..
 
kiborloni nimeishi nakujua vizuri hunidanganyi sehemu hata moja kuanzia kdc,rau,majengo, shanty town ,mawenzi, mwereni primary pasua kwa wahuni, njoro, hunidanganyi kitu kuhusu moshi mkuu,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom