World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Labda nikote nje ya mada ingawa siyo sehemu yake lakini 90 ni mojawapo ya "MASONIC NUMBERS" kutokana ukweli kwamba 9+0=9 au dakika 45 ambayo ni 4+5=9. kipindi cha nyongeza ni dk 30 au 3+0=3. Namba 3 ni miongoni wa masonic numbers ikijulikana kama "THREE SENSES". Mwisho ni 9=3X3, kwanini namba 9 ni rahisi ukichukua 9 nukazidisha na namba yoyote (1,2,3.......10) unapata arithmetic progression. hii ni sifa pekee ya namba 9 ambayo hapo namba nyingine.

duuu kumbe haya madubwasha hata kwenye kandanda yapo?
 
Brazil v. Argentina
Argentina win!
...
Alafu Kwa obama leo anapigwa!
 
Niko bar nakuunywa kimexico zaidi, ila watu wanalia na bet zao, mtu kabet Argentina nafungwa, inaingia akklini kweli? Or is just a matter of betting
 
Mijitu mengine sijui inafikiri jela za Brazil Kama Europe! Ngoja wakamuweke ndani siku tatu tu atajutia Pombe zilizompeleka ndani ya uwanja.
 
Back
Top Bottom