DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,547
- 2,749
Yeyote sasa anaweza pita game hii!
Mkuu umeshaanza kubadilisha statement zako?
Mwanzoni ulikuwa huongei hivi... ilikuwa ni uhakika tuu
Yeyote sasa anaweza pita game hii!
"Switzerland have been tactically efficient today"
hahaha
Huyu Nessi yaani ameshindwa kufunga mbele ya galasa Djorou? Galasa lililotupwa hata kutoka Arse8?
huyu dropout wa Arsenal (Djourou) anammudu vyema Higuain
Mkuu umeshaanza kubadilisha statement zako?
Mwanzoni ulikuwa huongei hivi... ilikuwa ni uhakika tuu
Mkuu umeshaanza kubadilisha statement zako?
Mwanzoni ulikuwa huongei hivi... ilikuwa ni uhakika tuu
hapana mkuu messi kapewa kitu tunaita V. wachezaji watatu wanampiga pini messi. angalia messi akishika mpira anakabwa na wangapi.
HOE na huku upo pia? Mie nimekuzoea kule MMU.
Safi sana
Presha imeshaanza, ngoja nikanyooshe miguu
yaani watu humu wajanja sana wanatafuta relief kadri dk zinavyoyoyoma na upepo kuongeza mvumo
Argentina fungeni nipate hizo pesa mie....
Yeyote sasa anaweza pita game hii!
Argentina fungeni nipate hizo pesa mie....
Niko Argentina pia....