World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

yaani hapa waswaz taratibu wanatafuta matuta na wako precise kwenye matuta kama saa zao!!!!!
 
Waswisi wanaonekana wamechoka endapo watafanya kosa golini watakuwa wamekwisha.
 
If you want to support a strong African team support FRANCE ...truly pan-African
 
Huyu Nessi yaani ameshindwa kufunga mbele ya galasa Djorou? Galasa lililotupwa hata kutoka Arse8?
 
huyu dropout wa Arsenal (Djourou) anammudu vyema Higuain
 
Back
Top Bottom