mark my words , BRAZIL kesho anaaga mashindano
Chile kuifunga Brasil will never happen. Jiandaeni kulia na kusaga meno tu hiyo Julai 11
Tupinge dola 100
Sisi 3 Mexico 1JAMANI HAPA NGUDU UMEME UMEKATIKA... score vipi?
JAMANI HAPA NGUDU UMEME UMEKATIKA... score vipi?
JAMANI HAPA NGUDU UMEME UMEKATIKA... score vipi?
Sasa umeandikaje huu ujumbe?
JAMANI HAPA NGUDU UMEME UMEKATIKA... score vipi?
heheh mkuu ningekuwa na dola 100 ya kupinga ,ningekuwa sauzi namuangalia messi live mida hii ,lakini msimamo wangu ni pale pale kesho BRAZIL anasambaratishwa. Hakikisha unakuwepo JF mida ya gemu.
hakikisha unakuwepo JF kesho, hakuna samba wala lambada kesho ni kipigo tu kwa BRAZILanakwenda wapi?....buyu limechemsha piga ramli upyaaa
mkuu... mtandao upo kwenye simu na laptop... both can work using the stored energy in their batteries, TV haina hiyo facilitySasa umeandikaje huu ujumbe?