World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Mwaka huu kombe linaenda Amerika kusini......hivi fainali kati ya Argentina na Brasil wangu itakuwaje? Hii itakuwa fainali ya fainali zote na wana Brasil lazima tuibuke kidedea
 
Huu ni Ushindi wa Maradona dhidi ya Wapinzani wake akina Pele
 
this game is over now, kinachoweza kutokea sasa ni yellow kadi nyingi kwa Mexico pengine red card pia kwani huu ni muda wa kuwala buti tu sasa.
 
Asante Maradona kwa Kuja kwenye WOZA 2010 maana South Afrika Diego ni Maarufu kuliko Mashindano
 
Mwaka huu kombe linaenda Amerika kusini......hivi fainali kati ya Argentina na Brasil wangu itakuwaje? Hii itakuwa fainali ya fainali zote na wana Brasil lazima tuibuke kidedea

huu ndiyo utabiri wangu: final ni Brazil Vs Argentina. 2nd Runner ni Ghana Vs Spain/Paraguay.
 
:clock:Tevez tunamrudisha Old Traford soon. Atakuwa mchezaji wa kwanza kutemwa na kurudishwa tena Man u.
 
Mwaka huu kombe linaenda Amerika kusini......hivi fainali kati ya Argentina na Brasil wangu itakuwaje? Hii itakuwa fainali ya fainali zote na wana Brasil lazima tuibuke kidedea

Mi naona kama Brazil watakutana na Argentina fainali hii basi Argentina watatwaa ubingwa!!..na kati ya mabingwa ninaowawazia ni Argentina,Brazil au Germany!!..
 
mkuu vipi tena amigos wako imekuwaje? ARGENTINA VS GERMANY hii game ni balaa .
 
Mi naona kama Brazil watakutana na Argentina fainali hii basi Argentina watatwaa ubingwa!!..na kati ya mabingwa ninaowawazia ni Argentina,Brazil au Germany!!..

no ni Brasil, Argentina then Germany
 
Mi naona kama Brazil watakutana na Argentina fainali hii basi Argentina watatwaa ubingwa!!..na kati ya mabingwa ninaowawazia ni Argentina,Brazil au Germany!!..

Baby Brazil hawatafika final watakimbizwa huku chini chini, hawana striking force nzuri.....
 
Lakini ningependa sana mwaka huu walau ubingwa uchukuliwe na timu nyingine na sio wale usual suspects wa kila mwaka wa kombe la dunia. Vipi Chile au Japan wakishinda....? Nimechoka na timu zile zile tu kubadilishana ubingwa...kama sio Brasil...basi Italia..kama sio Italia basi Deutschland....kama sio Deutschland basi Argentina...aaah inaboa sasa
 
Back
Top Bottom