World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

hakuna kitu hapo.......mende hawezi angusha kabati bana.....hata siku moja

"wazee wa pasta" walisema hivyo hivyo leo mchana na sasa wako pembeni wanauguza majeraha ya " all whites" heheheh
 
Tuko wote hapoo.Hawa Brazil hawatishi wala nini,tunaweza kuwaburuza vilevile.Naweka pesa yangu kwa litimu la afrika kwa mara ya mwisho leo..

we tafuta kufa kwa presha bure....shauri yako
 
he he he , rekebisha vuvuzela kabisa , leo ni siku ya waAFRICA. com on! IVORY wana wa COAST

Hata jana ilikuwa siku ya waafrika,wewe inaelekea unapenda presha..Nina vuvuzela la njano/kijani leo special for Brazil!..
 
"wazee wa pasta" walisema hivyo hivyo leo mchana na sasa wako pembeni wanauguza majeraha ya " all whites" heheheh

unajua wale leo walikuwa wamekula tagliantelle badala ya macaroni ndio maana...ni era katika menu ndio ilisababisha
 
Hata jana ilikuwa siku ya waafrika,wewe inaelekea unapenda presha..Nina vuvuzela la njano/kijani leo special for Brazil!..

unajua wale leo walikuwa wamekula tagliantelle badala ya macaroni ndio maana...ni era katika menu ndio ilisababisha

hakikisheni mnabaki mpaka mwisho wa mechi! nitawaPM kuwaelekeza tutasherehekea wapi ushindi wa WANA WA TEMBO.
 
we tafuta kufa kwa presha bure....shauri yako

Imeshafikia 160/100mmHg..daktari amesema nina stage 2 hypertension..leo wacha iniue kabisa,lakini vijisenti vyangu vyote naweka cote d'ivoire
 
unajua wale leo walikuwa wamekula tagliantelle badala ya macaroni ndio maana...ni era katika menu ndio ilisababisha

Au wangepata Lasagna,ooh mine!..Eniwei Preta tupo wote leo na Brazil..Umemuona Kaka,kapendeza anaimba wimbo wao wa Taifa!..Brazil go go!!!
 
Angalia kwanza clip hii ya sheikh Yahya halafu tutabiri pamoja.

Kesho ni Tarehe 20/06/2010

Mechi kati ya Ivory Coast na Brazil

tukichukua herufi za mwanzo za kila timu tunapata idadi hii

Ivory Coast = 9

Brazil = 2

Kwa kuwa 2 inagawanyika kwa mbili na tisa haigawanyiki basi tuchukue herufi hizi za mwanzo ambazo zinakidhi masharti ya Sheikh Yahya na kuongeza tarehe ya mchezo

Kwa Brazil = 2+20 = 22 inagawanyika kwa mbili
Ivory Coast = 9+20 =29 haigawanyiki kwa mbili

Namba inayogawanyika kwa mbili timu yake itashinda. Nawakilisha hoja!
kwikwikwikwi!!!1

Mods kwa nni mumeunganisha hizi.............Fanyeni mumuondoe mwanga/mchawi huyu Sheikh Yahya.............Inaharibu thread hii
 
Last edited by a moderator:
Jamani hii game ya leo kwa kweli itaniofanya nipate kifaduro daa Ivory wee tuokoe akina Kunta Kinte tufurahi ati!.
 
hakikisheni mnabaki mpaka mwisho wa mechi! nitawaPM kuwaelekeza tutasherehekea wapi ushindi wa WANA WA TEMBO.

Nipo hapa jamvini mpaka watu wote wanatawanyika uwanjani na vuvuzela zao!..nawewe usipotee tu,ohohhh!Enjoy the match mkuu..
 
Haya naona mtanange ndio hivyo umeanza.......wangapi hapa wanaishabikia Selecao?
 
Back
Top Bottom