World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

_48122886_smeltz_reu766.jpg



_48122964_rossi_reu766.jpg



_48123008_iaquinta_reu766.jpg
 
Italy bana washinde tuu, hawa wanaojiita all white wanabagua sisi hawa hahahaha
 
aaah mkuu unashabikia italy......sina wasiwasi watafungwa......im with the underdogs...lol

Hapana mkuu sishabikii Italy wala nini but nataka tu ushindani mbele ya safari...Fikiria NZ wanabahatisha kwenda hatua ya pili na wanakutana na timu kama Brazil ama Holland si itakuwa mteremko kwa hao wapinzani wao...........
 
Kipindi cha pili kimeanza. Tusubiri kuona mpira wa upande mmoja maana Italy wameongeza nguvu.
 
hapana mkuu sishabikii italy wala nini buta nataka tu ushindani mbele ya safari...fikiria nz wanabahatisha kwenda hatua ya pili na wanakutana na timu kama brazil ama holland si itakuwa mteremko kwa hao wapinzani wao...........

kweli kuna hatari timu flaniflani kupata mteremko 2nd round.......
 
Italy wanalo mwaka huu.........wasipoangalia wataungana na Cameroon muda si mrefu
 
Italy wamekoswa hapoooo!!!..Wood angefunga hio kitu......aarrrggghhhhhh!
 
Cha kushangaza ni kua mashabiki wa New Zealand wanashangalia kweli na wa-Italiano wamenuna....Whats up with that?
 
Mpira umekwisha...1-1...wanasherekea kweli kweli hawa New Zealand...:hail::hail::hail:
 
Cha kushangaza ni kua mashabiki wa New Zealand wanashangalia kweli na wa-Italiano wamenuna....Whats up with that?

imagine taifa stars iende WC halafu itoke sare na argentina hehehehe nadhani bongo kutakuwa na holiday siku 3 mfululizo
 
Duh world cup hii....italy,england,germany,france,spain,portugal......wote hakieleweki...i love thic wc....
 
Back
Top Bottom