klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Duh world cup hii....italy,england,germany,france,spain,portugal......wote hakieleweki...i love thic wc....
huyo jamaa kwenye buluu hapo, miaka yote hakieleweki sio mwaka huu tu.
Duh world cup hii....italy,england,germany,france,spain,portugal......wote hakieleweki...i love thic wc....
Duh world cup hii....italy,england,germany,france,spain,portugal......wote hakieleweki...i love thic wc....
I know it's a tough game for Ivory Coast but I still believe they can bring our lost hope
I know it's a tough game for Ivory Coast but I still believe they can bring back our lost hope
pamoja mkuu. tunawasambaratisha BRAZIL leo, acha tuzungushe antenna hapa.
Ha ha, habari ya tunguli sio, msemo wa Preta-kutundika koti hewani~kama tunaweza hivo kwa nini isiwe kwenye soka?.pamoja mkuu. tunawasambaratisha BRAZIL leo, acha tuzungushe antenna hapa.
pamoja mkuu. tunawasambaratisha BRAZIL leo, acha tuzungushe antenna hapa.
Naona unaanza kutupandisha presh mapemaa!.In your dreams, ha ha!..Brazil leo wanawachakaza Ivory Coast,subiri uone mwenyewe!..
I know it's a tough game for Ivory Coast but I still believe they can bring back our lost hope
In your dreams, ha ha!..Brazil leo wanawachakaza Ivory Coast,subiri uone mwenyewe!..
Naona unaanza kutupandisha presh mapemaa!.