World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

haya sasa.....naona kuna dalili fulani za goli toka kwa Ivorians
 
mpira tucheze sisi kufungwa tufungwe sisi.........haya ndio mambo ya akina Mwanakijiji..........lol
 
afadhali JF imerudi hewani na bao la pili kwa Brasil.....weraaaa weraaa
 
Back
Top Bottom