World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

he he he he idadi ya nchi africa......miaka 4-4 wc.....wakifuata alphabeti zamu ya tz itakuwa 2200............
hahaha Huenda wakati huo ndo tukawa natimu nzuri.Kwasasa bongo hata 50yrs mbele hakuna dalili...Ni bora kuliko kuleta wawakilishi wanaotupa presha tupu
 
Africans, we can never win anything united on consistance basis. We are very good and strong perfomers on individual scales. angalia riadha tunavyokimbiza hewa.

On the other hand Maicon na Donovan wametufundisha ufungaji mwingine rahisi wa kutumia pembe ya uwanja!
 
mwakilishi mwingine wa afrika yupo uwanjani, je tutegemee nini?

Watakuwa timu ya kwanza ya afrika kuaga leo??

yametimia cameroun ndio timu ya kwanza kuaga wc.....watacheza na holland kukamilisha ratiba....
 
Ndiyo maana tulitawaliwa na bado tunatawaaliwa. Kule yule jamaa wa Eugenics wanadai waafrika evolution haikukamilika (sorry I'm not supporting them though...)
 
On the other hand Maicon na Donovan wametufundisha ufungaji mwingine rahisi wa kutumia pembe ya uwanja
Kweli nilipenda sana lile Goli la Maicon ni moja kati ya mabao mazuri ya WC huenda kesho tukaona mengine mazuri kutoka kwa watoto wa samba.Ila Africa sijui kwann hatujifunzi!!
 
ndiyo maana tulitawaliwa na bado tunatawaaliwa. Kule yule jamaa wa eugenics wanadai waafrika evolution haikukamilika (sorry i'm not supporting them though...)

kweli timu za africa zimekuboa.......
 
Rev jabulani ndio linasababisha hayo magoli ya imposibo engo, profesa aliyelidizaini analitetea ila linatesa sana makipa na makocha pamoja na wachezaji wamelikandia sana!
 
Rev jabulani ndio linasababisha hayo magoli ya imposibo engo, profesa aliyelidizaini analitetea ila linatesa sana makipa na makocha pamoja na wachezaji wamelikandia sana!
Maths and Physics zinaplay part kwny Futbol (pale mwanzo uliandika vuvuzela nikaona hzo fix poa kiongozi




0
 
yale ya usiku....labda!!!!

Unamanisha wanga au uchawi au ile kitu tamuuuuuu???? hahahaha, kazi kwelikweli. Nafikiri hata hiyo hatutaweza manake wenzutu wao wakiwa mashindanoni wanakua serious, sisi hatupo serious na mambo yetu, si makini kabisaaaaaaaaaaaaa
 
Kameruni walikosa mabao mengi ya wazi kabisa, basi tu; siku ya nyani kufa miti yote huteleza.
 
Angalia kwanza clip hii ya sheikh Yahya halafu tutabiri pamoja.



Kesho ni Tarehe 20/06/2010

Mechi kati ya Ivory Coast na Brazil

tukichukua herufi za mwanzo za kila timu tunapata idadi hii

Ivory Coast = 9

Brazil = 2

Kwa kuwa 2 inagawanyika kwa mbili na tisa haigawanyiki basi tuchukue herufi hizi za mwanzo ambazo zinakidhi masharti ya Sheikh Yahya na kuongeza tarehe ya mchezo

Kwa Brazil = 2+20 = 22 inagawanyika kwa mbili
Ivory Coast = 9+20 =29 haigawanyiki kwa mbili

Namba inayogawanyika kwa mbili timu yake itashinda. Nawakilisha hoja!
kwikwikwikwi!!!1
 
Last edited by a moderator:
Bye bye Cameroun, and thank you for letting us down. I wish it was Cameroun of the 90s. So long until World Cup 2014, I hope!
 
Mhhh!! Sheikh Yahya, hapo sina la kusema. Kuhusu Brazil/Ivory Coast, I wouldn't be suprised If Ivory Coast lose. African teams are very talented individually but when it comes to team work they fail. They have only themselves to blame.:embarrassed:
 
Yamebakia haya....kilio cha samaki!!!...pambaffff!!!!

_48120708_009592322-1.jpg
 
Back
Top Bottom