Mh, haya bwana... Subiri nije kwa ID yangu hahahahaMhhhh Drogba wa Chelsea anakosa hapa!
Mh, haya bwana... Subiri nije kwa ID yangu hahahaha
yaani N.KOREA walitoa upinzani kwa brazil kuliko IVORIES...........
huyo refa si ameona kabisa huo mkono badala ya kutoa red card anapeta tu na huo mkono ndo umesaidia jamaa kuumiliki mpira, mwenye nacho huongezewa
Brazilians u know Masa is supporting you! Naomba mfunge 4 kwa moja .,....am African I dont wanna be embarrassed ...God bless us and you