Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
aliyeiloga Africa kweli inatupasa tukamuombe msamaha
Aliyeturoga alishakufa..................Sijui itakuwaje sasa
aliyeiloga Africa kweli inatupasa tukamuombe msamaha
Eeeh..........................Kwa heri
The Answer is YES naona kuna haja ya FIFA kupunguza nafasi za ushiriki kwa AFRICA kwenye WC bora iwe inakwenda timu moja au Mbili!! mambo gani haya kupeana presha usiku huu mpaka wine inagoma kuingia kwenye koho! aaagrMwakilishi mwingine wa Afrika yupo uwanjani, je tutegemee nini?
Watakuwa timu ya kwanza ya Afrika kuaga leo??
nilisemaga hapa huyu jamaa wanampa ukumbi sana. keshatunyonga sasa. heheheheh kesho alfajiri naenda kuuza TV.
hahaaaa! mkuu, na hatuwezi kuwa Asia, Europe au Amerika, tujipende tulivyo, kwanza hii fani tumevamia tu, sie waaafria fani yetu ni kucheza na ng'ombe, mbuzi kukimbiza kuku huku umevaa gunia na kuvutana na kamba
Cameroon wametoka KIUME leo. Hongera kwa walau mechi nzuri sana.