africa bana...labda wakianzisha world cup ya mambo fulani tutakuwa tunashinda....:embarrassed:
africa bana...labda wakianzisha world cup ya mambo fulani tutakuwa tunashinda....:embarrassed:
ni bora africa kusiwe na mchujano kuingia wc tuwe tunakwenda kwa zamu zamu ili kila mtu kujaribu bahati yake
labda kucheza ngoma.......mie nashauri waanzishe ya uchawi, then kocha wa taifa star yetu awe mh.chenge!
ni kweli ndugu yangu,acha ucheke tu hizo ndizo fani zetu, na kuukataa uafrika ma kujikebehi ni sawa, na mtoto wa kiume kuukataa uanaume wake na kuamua kuwa shoga, atabadili jina lakini kamwe hawezi kuwa, mwanamkehahahha umenivunja mbavu.....
mie nashauri waanzishe ya uchawi, then kocha wa taifa star yetu awe mh.chenge!
africa bana...labda wakianzisha world cup ya mambo fulani tutakuwa tunashinda....:embarrassed: