World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

karibu nazima kalaptop kangu nilale sasa, hamna kitu hapa.
 
_48120068_009591234-1.jpg


Samuel Eto'o, Cameroon's captain and talisman, gives his side the lead with a fierce right-footed shot after a mistake by Denmark defender Simon Kjaer

HALF TIME tupumue kidogo mana kosakosa zile presha ilikuwa juu
 
Cameroon wanadefence mbovu ajabu, defence kama ile ya China kule Korea mwaka nimesahu.
 
hawa makocha wazungu wanatumaliza, it is time kusomesha wazalendo. Mechi iliyopita alimuacha Song na Geremy nje. Leo amemwingiza huyo jamaa mwenye jezi na.15, anachemsha kinoma na bado hamtoi. ahaa!

Mi siwapendi kabisa hawa......Wanatuhujumu.............Hasa yule wa Ghana
 
Mi siwapendi kabisa hawa......Wanatuhujumu.............Hasa yule wa Ghana
unajua nini mkuu,
Balantanda, tatizo sisi weusi hatujiamini hata kwa punje ndogo tu, kwani ni kipi kipya ambacho hawa wageni wamekileta? ona tunvyo chemka, kitu ambacho hatukifahamu ni kwamba hawa makocha woote wa kigeni ni vibaraka wa mataifa yao tu
 
Cameroon wanadefence mbovu ajabu, defence kama ile ya China kule Korea mwaka nimesahu.

yaani tomasson,gronkjaer na romadahl wanawapeleka vile wanataka. na huyu left beki wa kameroun anawapa jamaa ukumbi wa kulembea ma counter attack. aaargh acheni AFRICA liitwe AFRICA bana
 
unajua nini mkuu,
balantanda, tatizo sisi weusi hatujiamini hata kwa punje ndogo tu, kwani ni kipi kipya ambacho hawa wageni wamekileta? Ona tunvyo chemka, kitu ambacho hatukifahamu ni kwamba hawa makocha woote wa kigeni ni vibaraka wa mataifa yao tu

siyo siri makocha wetu hawana shule! Bahati mbaya sana masomo yao ni gharama kwa walalahoi, labda tulie ili fifa ianzishe vyuo au scholarship za makocha wa africa.
 
.........Africa ni wasindikizaji tu kwenye hii world cup, kombe mwaka huu naona litaenda South america.
 
MABADILIKO ya CMR huenda yakaleta uhai ngoja tuone ungwe ya pili hii..Geremi amekwenda nje kaingia Makoine
 
aaargh acheni AFRICA liitwe AFRICA bana
hahaaaa! mkuu, na hatuwezi kuwa Asia, Europe au Amerika, tujipende tulivyo, kwanza hii fani tumevamia tu, sie waaafria fani yetu ni kucheza na ng'ombe, mbuzi kukimbiza kuku huku umevaa gunia na kuvutana na kamba
 
trust me kama ndio ingekuwa shambulizi hizi ni za Denmark tungekuwa tunahesabu mengi tu.................yaani hatujitumi kabisa aisee.......................
 
Back
Top Bottom