World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Heri Ghana ifungwe ili timu bora ziendelee kucheza Jabulani.

Africa lazima tukubali kuwa hatukujiandaa vya kutosha kwenye hii WC.

Halafu watu wanafikiri Ghana itaifunga German....

Mkuu lini waafrika tulijiandaa vya kutosha kwenye wc kama siyo kuwa wasindikizaji tu?Wagiriki juzi waliitengeneza nafasi kama hii na wakaitumia vizuri lakini siye mweeeeh
 
Yale yale wanacheza huku mawazo yakiwa kuonekana wachukuliwe na club za ulaya. Ghana walikuwa nafasi nzuri ya kujihakikishia ushindi leo. sasa kucheza na Germany aliyejeruhiwa na serbia sijui itakuwaje Maana Serbia akimfunga Australia na Ghana afungwe wametoka. wataijutia hii nafasi ya leo yaani wanacheza na watu kumi wanashindwa kuwafunga?. Rubbish
 
and then useme kuna njama za kuitoa ghana zinazofanywa na ujerumani.wangeshinda leo wamepita.wamepewa penati,mtu mmoja katolewa bado hawawezi kushinda.nimenawa mikono sishangilii tena timu ya afrika.....headache,bp.......[/QUOTE]

Ghana wasen@#$@$@$@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@
mamamaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee zao
 
Big disappointment kwa kweli from Ghana, chances walikuwa nazo nyingi tena againtst 10players..Agrrrrrrr!!
Kama Ghana wakiifunga Ujerumani basi wanachukua WC2010!..
 
Dah.......

Halafu hawa makocha wetu wa kizungu nina mashaka nao sana,wanakuwa kaa wanatufanyia hujuma vile.........Inakuwaje anawaeka benchi akina Sulley Ali Muntari,Mathew Amoah na mkongwe Stephen Appiah na anawaanzisha watoto akina Andre Aew na Kwadwo Asamoah ambao wankimbiakimbia tu uwanjani na kupoteza mipira kwa 'anao anao' za hovyo hovyo............Kwa upangaji huu wa timu wa kocha wa Ghana Germany watatuchapa mengi aisee
 
Hapa nadhani Ghana wapo out, itakuwa ngumu sana kuwashinda German au kutoa draw. wakati huo huo Serbia watawapiga Australia. Otherwise kama bahati ni yetu Australia wakijitahidi wakashinda kwa magoli machache na Ghana wakafungwa machache. Vinginevyo waamue kula ngumu kuzua dakika zote dhidi ya Germa au wapate penalt tena.
 
Dah.......

Halafu hawa makocha wetu wa kizungu nina mashaka nao sana,wanakuwa kaa wanatufanyia hujuma vile.........Inakuwaje anawaeka benchi akina Sulley Ali Muntari,Mathew Amoah na mkongwe Stephen Appiah na anawaanzisha watoto akina Andre Aew na Kwadwo Asamoah ambao wankimbiakimbia tu uwanjani na kupoteza mipira kwa 'anao anao' za hovyo hovyo............Kwa upangaji huu wa timu wa kocha wa Ghana Germany watatuchapa mengi aisee
Haa ha unanikumbusha enzi za Lunyamila, make wakati ule utasikia tu Lunyamila anao anao anakata mbuga~ha ha ha.
 
Wala hujakosea. Hawa ni vijana wadogo na wanacheza kama umri wao. Kocha pia anachukua lawama hapa.

Fikria anawaweka benchi John Mensah,Suley Muntari,Mathew Amoah na Stephen Appiah...........Si hujuma hizi jamani.............aaaaaaaaaaaaaaaaargh
 
Sijawahi kuwa na presha ya mpira kama ya leo ya Ghana tena zaidi ya timu yangu ya Taifa,yani uchungu kweli wameshindwa kuongeza hata kamoja..Hivi nyie wanaJF wenzangu hali ilikuwaje wakati mnaangalia? mana nimetukana,nimetoa midadi ya kila aina,nimesimama mara kukaa lakini wapi no goal!..
Kameruni wanisamehe,nitachukulia mechi yao kama ya kirafiki..sitaki BP na Shell kila dakika ya game!
 
Heri Ghana ifungwe ili timu bora ziendelee kucheza Jabulani.

Africa lazima tukubali kuwa hatukujiandaa vya kutosha kwenye hii WC.

Halafu watu wanafikiri Ghana itaifunga German....

Mkuu, Timu za Africa zinaathiriwa na kitu kimoja, ubinafsi kila mchezaji hasa hawa young star wanachukulia mshindano haya kama sehemu ya kujiuza badala ya kushindana. Ukiangalia Ghana kila mchezaji alikuwa anataka kufunga, yaani kulikuwa na nafasi nzuri za kucheza kama timu na kushinda. Mtu akipata mpira anakata kiuno kwanza ndiyo anacheza wenzake wanafungua yeye ana slow game kwa ku-hold. Ila Ghana watakula kipigo cha mbwa mwizi wakicheza na Germany kama walivyozheza leo.
 
Sijawahi kuwa na presha ya mpira kama ya leo ya Ghana tena zaidi ya timu yangu ya Taifa,yani uchungu kweli wameshindwa kuongeza hata kamoja..Hivi nyie wanaJF wenzangu hali ilikuwaje wakati mnaangalia? mana nimetukana,nimetoa midadi ya kila aina,nimesimama mara kukaa lakini wapi no goal!..
Kameruni wanisamehe,nitachukulia mechi yao kama ya kirafiki..sitaki BP na Shell kila dakika ya game!
Achana na kushabikia timu za Africa, utakufa siku si zako~yaani ovyo kabisa.
 
Kuna WC za nyuma, timu kama Nigeria, Senegal na Cameroon walijitahidi sana hadi wakavuka ligi na kuondolewa huko juu. Kumbuka Cameroon mwaka 1990, walienda juu sana na huku wakiifunga Argentina mechi yao ya kwanza. Ila hii WC, kumbe heri hata Tanzania tungelicheza. Mie niliishiwa nguvu kumuona kijana wa Kighana akikimbia na bendera uwanja mzima utafikiri ndiyo wamevuka tayari ligi. Hivi vitoto ni vitoto kweli na kibaya zaidi, havina kiongozi ndani ambaye anaweza kuwahamasisha na kuwafokea.

Kila mtu alikuwa na hamu ya kufunga goli ili ajulikane na sasa ndiyo kwanza wamejitia kitanzi. Watajulikana karibu wote ni MABINAFSI wakubwa na hawafahamu team work. Watashangaa mwenzao Ayew ndiyo anakuja julikana kama mchezaji wa kuchukua kwa action yake ambayo badala ya kupiga golini, katoa pasi. Haya mashuti ya mbali, na mpira unapita mita zaidi ya nne nje, ni maajabu.

Mbebabox, naona una mambo ya KIJALUBA sana. Ya jana yaliisha ati......

Mkuu lini waafrika tulijiandaa vya kutosha kwenye wc kama siyo kuwa wasindikizaji tu?Wagiriki juzi waliitengeneza nafasi kama hii na wakaitumia vizuri lakini siye mweeeeh
 
Sasa wamejiweka katika wakati mgumu sana group lao liko open bado tena sana tu
 
Kuna WC za nyuma, timu kama Nigeria, Senegal na Cameroon walijitahidi sana hadi wakavuka ligi na kuondolewa huko juu. Kumbuka Cameroon mwaka 1990, walienda juu sana na huku wakiifunga Argentina mechi yao ya kwanza. Ila hii WC, kumbe heri hata Tanzania tungelicheza. Mie niliishiwa nguvu kumuona kijana wa Kighana akikimbia na bendera uwanja mzima utafikiri ndiyo wamevuka tayari ligi. Hivi vitoto ni vitoto kweli na kibaya zaidi, havina kiongozi ndani ambaye anaweza kuwahamasisha na kuwafokea.

Kila mtu alikuwa na hamu ya kufunga goli ili ajulikane na sasa ndiyo kwanza wamejitia kitanzi. Watajulikana karibu wote ni MABINAFSI wakubwa na hawafahamu team work. Watashangaa mwenzao Ayew ndiyo anakuja julikana kama mchezaji wa kuchukua kwa action yake ambayo badala ya kupiga golini, katoa pasi. Haya mashuti ya mbali, na mpira unapita mita zaidi ya nne nje, ni maajabu.
....[/B]

Nilidhani labda kuna waafrika walishaingia walau nusu fainali??Mimi nakumbuka ile wc nigeria alimfunga spain(timu nzuri kweli siku zile) 3 halafu kaja kupigwa 4 na mdanish kis88nge tu
 
Achana na kushabikia timu za Africa, utakufa siku si zako~yaani ovyo kabisa.

Hilo lano neno mkuu..au bora zishiriki tu kama wapitaji siyo nia ya kusaka kombe..Sapoti ya kushangiliwa wanayo ila tu uwanjani ndo mambo hayaendi sawa..Ndo imetoka!
 
Kuna WC za nyuma, timu kama Nigeria, Senegal na Cameroon walijitahidi sana hadi wakavuka ligi na kuondolewa huko juu. Kumbuka Cameroon mwaka 1990, walienda juu sana na huku wakiifunga Argentina mechi yao ya kwanza. Ila hii WC, kumbe heri hata Tanzania tungelicheza. Mie niliishiwa nguvu kumuona kijana wa Kighana akikimbia na bendera uwanja mzima utafikiri ndiyo wamevuka tayari ligi. Hivi vitoto ni vitoto kweli na kibaya zaidi, havina kiongozi ndani ambaye anaweza kuwahamasisha na kuwafokea.

Kila mtu alikuwa na hamu ya kufunga goli ili ajulikane na sasa ndiyo kwanza wamejitia kitanzi. Watajulikana karibu wote ni MABINAFSI wakubwa na hawafahamu team work. Watashangaa mwenzao Ayew ndiyo anakuja julikana kama mchezaji wa kuchukua kwa action yake ambayo badala ya kupiga golini, katoa pasi. Haya mashuti ya mbali, na mpira unapita mita zaidi ya nne nje, ni maajabu.

Mbebabox, naona una mambo ya KIJALUBA sana. Ya jana yaliisha ati......

msimamo wangu ni ule ule,watatolewa kwa uzembe wao na si hujuma kama wewe ulivyokuwa unajaribu kuonyesha.kama hicho ndio KIJALUBA(sijui maanake nini.),well and good.....
 
Mwakilishi mwingine wa Afrika yupo uwanjani, je tutegemee nini?

Watakuwa timu ya kwanza ya Afrika kuaga leo??
 
Back
Top Bottom