World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

unaona CMR hata kupiga shuti ni wazito....................yaaani wangekuwa ni Dens tungekuw atunalia saa hizi.......unaona
 
Unaona sasa..................yaani ngoja nizime hii TV yangu
 
vipi tena mkuu....rig.song kafanya nini??

Nazungumzia namna makocha wanavyotuhujum....Fikiria analiita lizee kama Rigobeth na kuwabania vijana mabeki wazuri tu.........We si uliona alivokuwa uchochoro Angola wakati wa AFCON?
 
aliyeiloga Africa kweli inatupasa tukamuombe msamaha
 
:embarrassed::embarrassed::embarrassed::redfaces::embarrassed::embarrassed:
 
Nazungumzia namna makocha wanavyotuhujum....Fikiria analiita lizee kama Rigobeth na kuwabania vijana mabeki wazuri tu.........We si uliona alivokuwa uchochoro Angola wakati wa AFCON?

he he he kwani kacheza hata game moja?
 
aiseee! huyu Webo anafanya nini humo? toka mwanzo anafanya makosa tu na hizi beki balaa kweli.
 
Poor defence Africa jamaniiii aaaaaaaaaaahgr hasira hasira tupu
 
Back
Top Bottom