WORLD CUP 2010 IN S.A: News and UPDATES

Halafu cha kushangaza England amepanda chati kutoka namba 9 kwenda namba 8 na Argentina kuchukua namba 9. Hawa mafarao wameondolewa namba 10 mpaka namba 17.Je hawa FIFA hutumia vigezo gani, nilidhani uingereza kuwa namba 17 na Mafarao kuwa namba 8.

Vigezo ni kutokana na mechi ulizocheza kama umemshinda mtu wa juu yako kwenye rank unakuwa na adv ya kusonga mbele ki rank ..Egypt kuchukua kombe la africa manake yupo Juu kwa nchi za africa ki rank.Ila kama leo matokeo yatabaki hivi Ndo EGYPT wataongeza rank kwenye toleo lijalo la FIFA
 
Si mchezo tembo wa Ivory wamelala 2 kwa South Korea

Yaani hawa tembo ni moja katika ya timu zinazokwenda kutuaibisha Kule Bondeni na Kundi lao lilivyogumu sijui...Ila Korea wazuri.....Kipute kipo kwa wajerumani na waargentina ni moja ya Intern. Frndly nzuri leo
 
Mimi nasena ifike wakati Afrika tusikubali na tukutae tuseme tumechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu na tuandamane anaetaka sawa na asiyetaka simlazimishi lakini ingewezekana timu moja tuishushe nafasi apewe Egypt na mimi nitaendelea kumlaani Algeria na sasa hivi kashapigwa tatu bila majibu.Capello atakuwa kapello na sasa hivi atalia kama wenger maana jogoo limeanza kuwika Wembley,yule pale yule pale Zidan unamuona .maneno haya hata mzeewa kung"wenya anajua kule Masaki,hodi karibuuuu
 
Timu inawazinifu unategemea ishindane na vijana wamepiga rakaa vizuri,angalau Gerrad kakumbushia uzoefu wake na Crouch,sasa hivi capello atavua miwani na kuvaa mimi nasemaje kwa matokeo yeyote ya mechi hii hapa wembley heshima africa ,waarabu wanatuwakilisha vizuri usiku huu.
 
Mimi nasena ifike wakati Afrika tusikubali na tukutae tuseme tumechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu na tuandamane anaetaka sawa na asiyetaka simlazimishi lakini ingewezekana timu moja tuishushe nafasi apewe Egypt na mimi nitaendelea kumlaani Algeria na sasa hivi kashapigwa tatu bila majibu.Capello atakuwa kapello na sasa hivi atalia kama wenger maana jogoo limeanza kuwika Wembley,yule pale yule pale Zidan unamuona .maneno haya hata mzeewa kung"wenya anajua kule Masaki,hodi karibuuuu

hUYU MTU MREFU kapiga goli zuri kweli hapo ndo kunaonekana umuhimu wa Subst...kama utakumbuka vyema Gokona katika kinyanganyiro cha kuwania nafasi ya world cup kuna timu Ireland ilikosa nafasi kwa goli la mkono wa Chogo Henry..wakakata rufaa FIFA lakini ikashindikana kuwatoa france ili wao waingie ila kwa Hili la misri sijui nisemeje mana niliangalia vizuri ile Game yao pale Khatoum dah waarabu wanajuana wenyewe kwa wenyewe!..unaona visigino vya mtu mrefuu hapo
 
Rooney lakini mbaya,umeona alivypjipinda chupuchupu we acha tu huyu jamaa anauwezo binafsi.
 
jamani naona mafarao kama vile wanataka kukubali hapa!
 
Hapa naona mwisho wa siku watoto wa malkia watalinda heshima yao nyumbani...Kuna kila dalili za White pele aka Rooney kuleta heshima Baraza kwao
 
mimi nasema hata ile timu ya yule jamaa wa darajani anaeweka nywele dawa jamaa yupo strong lakini timu ya kwao huko kwenye vita mimi siiamini na leo imelala 2,inawezekana kipigo cha Tevez na Bellamy kimemchanganya Didier na Huyu fataki Terry.Gerrard anatoka James Milner anaingia na ule u Captain anapewa Rooneeey mimi nasema hata golikeeper hawana England ni tia maji tia maji huyu kama yule wa Chelsea Hlllario sijui sawa mkichukia chukieni wazee wa darajani
 
Dogo anapiga bao la tatu mtoto wa man cvity huyo heshima sasa England mbona yamekuwa haya England 3 Egypt 1
 
Back
Top Bottom