Unbeaten??????oops..Gokona huna record yoyote ya timu ya Africa kuishinda Uingereza?England collect their 500th win in their 882nd international match. They maintain their unbeaten status against African opponents."
Mambo yamekwisha tufikirie sasa ni wapi tulikosea uganda akatufunga tena sisi wabongo sio tunakenua tu maana hapa kuna watu wanaangalia aliefunga goli ni wa man city,au wa chelsea au man u au pompey wakati hapa kwetu panawaka moto,uzalendo kwanza na kesho naomba tuweke mchango kuhusu mchakato wa kocha mpya wa taifa starz tuache kukenua meno nchi yetu na timu yetu wote hata tukiwa na hasira haisaidii maana hata senator anajua na mzee wa lupopo masaki anajua ,kilichompata kwa kina papa wemba.
Nasubiri kesho ktk magazeti watakavyopewa ujiko hasa kaka ngngoti
Peter Crouch: "Any player who plays for England in World Cup year is under pressure. All I can do is take the chance when I get one. It's up to the manager whether I start or not. Hopefully I've given the manager something to think about though."
Good night for England coach Fabio Capello. Focus back on football again and a very big night for Peter Crouch and Shaun Wright-Phillips, who did their World Cup chances no harm at all. Capello will hope all his World Cup planning is back on track after the recent upheavals."
"If you come on, put two goals away and change the face of the game, you've done yourself no harm. I just think there's a good understanding between Emile Heskey and Wayne Rooney and that might win the day in the end.
ingewezekana South Africa ingetoka akacheza mwarabu angalau akijiandaa anaweza akafanya jambo la msingi lakini zuma cheche
nina data nyingi ila kimeniuma leo timu zote za africa zilizocheza na mzungu zimechapwa kasoro italy na cameroon bila bila hii maana yake nini? bado tupo chini kisoka ila tunajitahidi tutafika lakini kwa stahili hii ya usahili wa makocha ni urari hasi tu