WORLD CUP 2010 IN S.A: News and UPDATES

Becks anaongeza CV na kusafisha nyotaa yake..si umeona gakona hawa waarabu bwana wameanza vizuri kwa kukaza makalio sasa sijui half time walikwenda kukalia powder gani huko wamerudi legee
 
Wales wamelala 1 kwa Sweden dah wamemmiss dogo wetu Ramsey hawa
 
Wakati mwingine kweli ulaya ni ulaya yaani huyu capello angeitwa na malikia maana tena wembley aaah wacha ninywe chai na tea masala maana nilitaka wapewe discipline hawa England na mabingwa mara 3 wa Afrika au ndio ile kauli uchawi hauvuki maji,haya
 
Becks anaongeza CV na kusafisha nyotaa yake..si umeona gakona hawa waarabu bwana wameanza vizuri kwa kukaza makalio sasa sijui half time walikwenda kukalia powder gani huko wamerudi legee

Ngongoti anafanya 3
 
Crouch ebwana usimuombee mwenzio mabaya maana Capelo anadhari huyu jamaa bado la Rooney kama hali ni hii maana huu sasa utata
 
Wakati mwingine kweli ulaya ni ulaya yaani huyu capello angeitwa na malikia maana tena wembley aaah wacha ninywe chai na tea masala maana nilitaka wapewe discipline hawa England na mabingwa mara 3 wa Afrika au ndio ile kauli uchawi hauvuki maji,haya

Waarabu wana wasi wasi wako ardhi ya malkia hawa. Halafu Egypt wengi huwa hawajihesahabu kama ni Waafrika ujue
 
Nilikwambia mwana ebu tuone leo kama Uchawi wa mapharao unavuka bahari?? dah wamekuwa mdebwedo kabisaaa..wee pata tea masala ndo muda wenyewe huu..ila Kijana wetu mbona hajazii hata Goli moja?? unajua Rooney ndo tegemeo la England kwenye WC
 
Ile 1st half ilimchanganya sana kiongozi yaani walikuwa out of form pale mbele kabisa
 
Waarabu wana wasi wasi wako ardhi ya malkia hawa. Halafu Egypt wengi huwa hawajihesahabu kama ni Waafrika ujue

Wamorocco ndo mara zote na hata sasa hawapo kwenye Umoja wetu wa africa ila Egypt ni wetu tu..Ofcourse nidhamu hapo lazima iwepo mana ndo walikuwa watawala wao
Dah wamemtoa kipenzi chetu Wayne kaingia calton Cole
 
unajua swala la wsiwasi halipo wale jamaa wote iwe Algeria na wenzao morocco wao wanajiona kama wazungu na ukipata bahati kumuona mtoto wa kike kutoka nchi hizi utasema mzungu na hata maisha wazungu wanatoka kwao wanakwenda kula maisha cairo
 
Peter Crouch: 20 international goals, 37 international games. Not bad eh?
Ngongoti huyo mchango wake kwenye Timu ya Taifa
 
Capello anaangalia adhina zake ndani ya kabati ndio maana anajaribujaribu vijana sasa muda huu ndio wa bekham
 
unajua swala la wsiwasi halipo wale jamaa wote iwe Algeria na wenzao morocco wao wanajiona kama wazungu na ukipata bahati kumuona mtoto wa kike kutoka nchi hizi utasema mzungu na hata maisha wazungu wanatoka kwao wanakwenda kula maisha cairo

Hasa hasa waAlgeria nadhnai ndo huwa wako kama wazungu tu. Ila nchi hizi za kiarabu karibu zote huwa hawajihesahabu sana kama wako kwetu huku bali kwenye umoja wao zaidi
 
Back
Top Bottom