World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs.

Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma ikiamini kwamba italindwa na ile special arrangement kwa nchi maskini. Yetu macho!
Hongereni watanzania!

1593495793335.png
 
Wana jf

Hiki ndio kishindo kikuu cha awamu ya tano kufika uchumi wa kati (Middle Income Country ) M.I.C .

Ambapo Benki ya Dunia itaitangaza Tanzania kuwa inchi ya uchumi wa kati kwa kufikia GDI per capital ya U.S. $1026-12476

So kuanzia siku hiyo ule msemo wa sisi sio maskini wa rais magufuli utakuwa bayana

USSR
IMG-20200626-WA0046.jpg
 
Overview
Wana jf

Hiki ndio kishindo kikuu cha awamu ya tano kufika uchumi wa kati (middle income country ) M.I.C .

Ambapo benki ya dunia itaitangaza Tanzania kuwa inchi ya uchumi wa kati kwa kufikia GDI per capital ya U.S. $1026-12476

So kuanzia siku hiyo ule msemo wa sisi sio maskini wa rais magufuli utakuwa bayana

USSRView attachment 1489538
 
Bila link ya maana tutaamini vipi,hiyo post uliyoweka ni tweet ina retweet 2 na likes 4 tutajuaje siyo retweet na likes za wewe,Kawe Alumini, na Mr Chopa
 
You must be joking. Tarehe 1/7/200? That comes with a price tag. Misaada itapungua. Unafikiri kwa nini China mpaka leo hii haitaki kuitwa nchi iliyoelendelea?
Wana jf

Hiki ndio kishindo kikuu cha awamu ya tano kufika uchumi wa kati (middle income country ) M.I.C .

Ambapo benki ya dunia itaitangaza Tanzania kuwa inchi ya uchumi wa kati kwa kufikia GDI per capital ya U.S. $1026-12476

So kuanzia siku hiyo ule msemo wa sisi sio maskini wa rais magufuli utakuwa bayana

USSRView attachment 1489538
 
Wana jf

Hiki ndio kishindo kikuu cha awamu ya tano kufika uchumi wa kati (middle income country ) M.I.C .

Ambapo benki ya dunia itaitangaza Tanzania kuwa inchi ya uchumi wa kati kwa kufikia GDI per capital ya U.S. $1026-12476

So kuanzia siku hiyo ule msemo wa sisi sio maskini wa rais magufuli utakuwa bayana

USSRView attachment 1489538
Chadema wamechukia na kununa.
 
Back
Top Bottom