Women!!!

Tatizo ni kwamba watu hua tunakurupuka mno.Umenijua leo wiki ijayo unanitongoza...hujui nikoje kiundani...hujui kama nna mtu japo nimekwambia sina...hujui nafanya nini labda ni mjasirilimali wa asili (dada poa)...hujui nani anaeniweka mjini ila tayari uko tayari kunivua nguo.

Kua rafiki yangu...piga story na mimi...nichunguze kwa maswali bila kuashiria unataka zaidi ya urafiki...nisome kwa maongezi yangu...baada ya muda omba hata kunitembelea alafu sasa ndo ufikirie kunitongoza.Sio mambo ya wanijua leo...wanitaka leo!!!

Mgumu sana wewe
 
Wake za watu nao wamepagawa na maisha kweli, msimlaumu mlachake tu, na huyo mwanamke anamakosa, inakuwaje asiseme kama ameolewa, mapenzi mengine yanaanzaga ghafla at the first site, na pia kuna three nite stand mkumbuke then mnanogewa ndio mnaanza kuulizana mwenzangu umetokea wapi.......
 
Tatizo ni kwamba watu hua tunakurupuka mno.Umenijua leo wiki ijayo unanitongoza...hujui nikoje kiundani...hujui kama nna mtu japo nimekwambia sina...hujui nafanya nini labda ni mjasirilimali wa asili (dada poa)...hujui nani anaeniweka mjini ila tayari uko tayari kunivua nguo.

Kua rafiki yangu...piga story na mimi...nichunguze kwa maswali bila kuashiria unataka zaidi ya urafiki...nisome kwa maongezi yangu...baada ya muda omba hata kunitembelea alafu sasa ndo ufikirie kunitongoza.Sio mambo ya wanijua leo...wanitaka leo!!!

Watu hawataki process ndefu siku hizi,acha yatukute
 
Lizzy sometime inaboa bana kuchunguzana maana nikianza kukuuliza maswali mengi utaaanza kuniambia mbona unanichunguza sana
Ila it is better to have aclear picture ya mtu ambaye unaenda kukaa nae sehem au kumvua nguo usije ingia ukakutana na mtu ameweka kisu kiunoni
 
Huyu Lizzy ni noma aise.

Ila bado sikubali. Lazima mwanamke useme marital status yako unapotongozwa. or you should always wear you wedding ring if it not heavy
 
Watu hawataki process ndefu siku hizi,acha yatukute

Ndo hapa sasa...kama mtu anatongoza chap chap naomba nawaache kulalamika kuhusu kukubaliwa chap chap.Ulivyo mrahisi kutongoza ndivyo na wengine walivyo warahisi kukubali.
 
Back
Top Bottom