Women Down!

Na nyinyi kujigeuza mashoga na kutuibia waume hamuoni mnatuingilia? Sisi kukojoa tumesimama haina madhara tena inawezekana ukichuchumaa ukapata madhara ya kurukiwa na uchafu kutegemeana na sehemu unayojisaidia. Haya nyie kuingiliwa kinyume na maumbile iko poa ee
Si kwamba nashabikia the main thread, bali najaribu kuhoji juu ya hoja yako hii....! Kwamba je, kuhusu ushetani, ujinga, upumbavu.... (sijui niipe jina gani baya zaidi) wa kuamua kuwa shoga ilipata kutetewa na wanaume wote kwa pamoja na umoja wao kupitia media, midahalo, mikutano, nk? Je, shoga lazima awe mwanaume tu? Au ugeuzaji huo pia ulilaaniwa kwa jinsia zote? Je, na usagaji nao umebarikiwa? Binafsi nadhani haya ni mambo ya mtu mwenyewe, na sio jinsia nzima.... ilhali hufedhehesha, huabisha, na kudhalilisha jinsia husika, pamoja na kushusha hadhi ya uumbwaji wake....!
Nawasilisha....!
 
...nananaaa.....you just shot the women down......infront of the whole big crowd........
 
Lakini kwa nini dini kama nyingi kama si zote zina mfumo dume? Nimejaribu kufanya kautafiti kadogo na kugundua kwamba viongozi wa juu kabisa katika dini nyingi huwa ni wanaume.

Kwa mfano sijawahi kuona mahala popote pale kama kuliwahi kuwepo na papa wa kike....na hata siku moja sijawahi sikia eti kuna shehe wa kike. Hivi ni kwa nini hii?

Ndo kusema kwamba dini nazo zinashiriki katika kukandamiza jinsia ya kike? Halafu sasa utakuta waumini wengi kweli ni wanawake...
 
Na nyie siku hizi mnalalamika sana ooooh watu wanatufanya atm, sijui vibomu, inabidi tugangamale, wababa wa zamani walikuwa wanajiproud wakiiwatunza wake zao kwa kila kitu, nyie sasa hivi kutwa kulalamika, dunia imebadilika aisee, kukojoa tumesimama unategemea nini uende kunywa B bar au hongera bar then ujisaidie umechuchumaa kama hujarudi na gono home
 
Hapo kwenye blue sikubaliani na wewe..............kwenye suala la nguvu naweza kubaliana na wewe, japo sio 100%!
Kweli Keren hata mimi kwenye akili sikubaliani nae, kuna wanawake wengi tu mbona vichwa, tena sana tu hata kushinda wanaume, kuna vitu haviiangalii jinsia ukiacha akili ,kuna kipaji pia nk. hivi mtu anazaliwa navyo angalia kwenye mziki kwa mfano jinsia zote mbili zinafanya vizuri, kinachowafanya wanaume waonekane wako juu kwenye mambo mengi ni mfumo dume hata hivyo kuwalinganisha wanaume na wanawake ni kama kushindanisha mabondia wenye uzito tofauti cha msingi tukubali tu kwamba kila mmoja anamhitaji mwingine, tuheshimu tofauti zetu kwa sababu wote tunategemeana, hakuna anayeweza kuishi peke yake thats nature, if you are proud to be a man, she is also proud to be a woman.
 
Asante. Ubarikiwe.
 
Lakini kwa nini dini kama nyingi kama si zote zina mfumo dume? Nimejaribu kufanya kautafiti kadogo na kugundua kwamba viongozi wa juu kabisa katika dini nyingi huwa ni wanaume.

Kwa mfano sijawahi kuona mahala popote pale kama kuliwahi kuwepo na papa wa kike....na hata siku moja sijawahi sikia eti kuna shehe wa kike. Hivi ni kwa nini hii?

Ndo kusema kwamba dini nazo zinashiriki katika kukandamiza jinsia ya kike? Halafu sasa utakuta waumini wengi kweli ni wanawake...

Hivi kwani mwanamke akitaka kuwa Papa au Sheikhat haruhusiwi?
 
Wanaume mbona kimya ...................???? au mnaogopa kuharibu ndoa.
 
Si kwamba nashabikia the main thread, bali najaribu kuhoji juu ya hoja yako hii....! Kwamba je, kuhusu ushetani, ujinga, upumbavu.... (sijui niipe jina gani baya zaidi) wa kuamua kuwa shoga ilipata kutetewa na wanaume wote kwa pamoja na umoja wao kupitia media, midahalo, mikutano, nk? Je, shoga lazima awe mwanaume tu? Au ugeuzaji huo pia ulilaaniwa kwa jinsia zote? Je, na usagaji nao umebarikiwa? Binafsi nadhani haya ni mambo ya mtu mwenyewe, na sio jinsia nzima.... ilhali hufedhehesha, huabisha, na kudhalilisha jinsia husika, pamoja na kushusha hadhi ya uumbwaji wake....!
Nawasilisha....!

Mtoa mada nadhani amekujibu kwa ufasaha hapa chini

Ukiona mtu kawa shoga ujue anapita tu kwa muda. Labda anafanya experiment kujua kama wanawake huwa wanapata raha au la...... muda wa ku s.e.x
 
Kweli Keren hata mimi kwenye akili sikubaliani nae, kuna wanawake wengi tu mbona vichwa, tena sana tu hata kushinda wanaume, kuna vitu haviiangalii jinsia ukiacha akili ,kuna kipaji pia nk. hivi mtu anazaliwa navyo angalia kwenye mziki kwa mfano jinsia zote mbili zinafanya vizuri, kinachowafanya wanaume waonekane wako juu kwenye mambo mengi ni mfumo dume hata hivyo kuwalinganisha wanaume na wanawake ni kama kushindanisha mabondia wenye uzito tofauti cha msingi tukubali tu kwamba kila mmoja anamhitaji mwingine, tuheshimu tofauti zetu kwa sababu wote tunategemeana, hakuna anayeweza kuishi peke yake thats nature, if you are proud to be a man, she is also proud to be a woman.

Wanawake ndio hawaheshimu tofauti zao na wanaume....
 
Na nyinyi kujigeuza mashoga na kutuibia waume hamuoni mnatuingilia? Sisi kukojoa tumesimama haina madhara tena inawezekana ukichuchumaa ukapata madhara ya kurukiwa na uchafu kutegemeana na sehemu unayojisaidia. Haya nyie kuingiliwa kinyume na maumbile iko poa ee
bwahahahahaha aiseee
 
Lakini kwa nini dini kama nyingi kama si zote zina mfumo dume? Nimejaribu kufanya kautafiti kadogo na kugundua kwamba viongozi wa juu kabisa katika dini nyingi huwa ni wanaume.

Kwa mfano sijawahi kuona mahala popote pale kama kuliwahi kuwepo na papa wa kike....na hata siku moja sijawahi sikia eti kuna shehe wa kike. Hivi ni kwa nini hii?

Ndo kusema kwamba dini nazo zinashiriki katika kukandamiza jinsia ya kike? Halafu sasa utakuta waumini wengi kweli ni wanawake...

Hii dunia aliumbiwa mwanaume na wanawake waliletwa tu kama wasaidizi. We jiulize kwa nini mwanamke alipoumbwa tu akatenda dhambi kitu ambacho Adamu hakukiwaza hata siku moja. Ndo maana mwanamke haruhusiwi hata kusogea madhabahuni pa Bwana
 
We are ver different creatures we will never be the same or equal. Kila gender ina strenghs zake ambazo nyingine haizifikii. Ni mpango wa Muumbaji or nature so as we complement each other. We need each other katika uniquness zetu.
 
mie sisemi,
maana mi nachanganyikiwa,
nimeamua kuitambua jinsia yangu tu....
siku hizi wanaume wanajifanya wanawake na wanawake wanajifanya wanaume
wanaume wanavaa hereni, wanajifanya mahandisamu, wanaolewa, kwa nchi zilizoendelea mpaka jinsia wanabadilisha

ukija kwa wanawake nao full headache.....
 
We are ver different creatures we will never be the same or equal. Kila gender ina strenghs zake ambazo nyingine haizifikii. Ni mpango wa Muumbaji or nature so as we complement each other. We need each other katika uniquness zetu.

Safiii........... Kweli we una akili!
 
Back
Top Bottom