Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

Lowasa hakubaliki kwao; uwanja wa sinoni . Karume ni mkubwa kinoma.

Nmemsikitikia sana ndugu huyo aitwaye lowasa
Hakubariki kabisa jiji la arusha

Hata kwao monduli hakubariki tena
Kumbe wakaz wa monduli walimpenda lowasa sababu ya chama na sasa kaondoka chama kipo
Monduli wanaccm

monduli oyee
Namelock oyeeeee
Magufuli oyee
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

mtoa mada unatuletea huku mambo ya instagram uku jf tena yanatuhusu nin sisi ingekuwa vema unge wapelekea hao wanao2mia hiyo instagram
 
Hahahahahahhaahhahaha
Ukawa wameshikwa pabaya
Hawakutegemea ccm ingesambaratisha ngome kuu ya ukawa arusha

wewe unaumwa labda kumbe bado hujajua kuwa ccm wanafosi laki ukweli ni ivi chadema jsna ndio imetia fora arusha na watu hawajasababishwa na fiesta wala mafuso
 
Hizi movie za Ukawa zitaisha hivi karibuni
Ingawa watatangaza kuibiwa kwa hivi wanavyojidanganya.
Kwa sasa tunaimani na MAGUFURI.

Mgombea huyo anabahatisha hajui anachokwenda kukifanya ikulu ndo maana wenye akili hawamtaki ila wenye ufinyu wa fikira kama wewe ndo watuwake twaweza wamesema
 
Fb Kuna video ya hao Watu wakiwa sinoni Arusha kama hutaki bhaaaaaaasi!!!!
 
Hii ni bada ya kucopy na kupest picha ya guinea kwa madai kwamba ni picha ya mkutano wa ukawa jana arusha
Hii inaashiria kuishiwa nguvu kwa ngome ya ukawa
 
Nmemsikitikia sana ndugu huyo aitwaye lowasa
Hakubariki kabisa jiji la arusha

Hata kwao monduli hakubariki tena
Kumbe wakaz wa monduli walimpenda lowasa sababu ya chama na sasa kaondoka chama kipo
Monduli wanaccm

monduli oyee
Namelock oyeeeee
Magufuli oyee

Nimeamini wafuasi wa ccm ni wagonjwa wa akili wanao waona wenzao ni wagonjwa wa akili.
 
Nmemsikitikia sana ndugu huyo aitwaye lowasa
Hakubariki kabisa jiji la arusha

Hata kwao monduli hakubariki tena
Kumbe wakaz wa monduli walimpenda lowasa sababu ya chama na sasa kaondoka chama kipo
Monduli wanaccm

monduli oyee
Namelock oyeeeee
Magufuli oyee

Ufinyu wa mawazo huoooooooo
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

acha uhuni wewe
 
Hii ni bada ya kucopy na kupest picha ya guinea kwa madai kwamba ni picha ya mkutano wa ukawa jana arusha
Hii inaashiria kuishiwa nguvu kwa ngome ya ukawa
Do you use your brain or mucus?
Nahisi hata wazazi wako watakua wanajuta kukuzaa..
 
Back
Top Bottom