Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

Timu ya kampeni ya Lowasa imejaa matapeli na waongo wakubwa.Wanamlia hela bure.Tarehe 25 octoba ikifika watasema ona umati wote huo eti kapata kura 100 kumbe umati wa picha waliweka wa nchi ya GUINEA mji wa conakry.Hivi kwa uongo huu wanapata faida gani? Kama sio kujidanganya wao na lowassa wao.

Weka ya ukweli tuione sio
 
Ukawa ni matapeli kwa kweli,na watakoma tarehe 27 baada ya matokeo ndo utakuwa mwisho wao
 
Hii ni bada ya kucopy na kupest picha ya guinea kwa madai kwamba ni picha ya mkutano wa ukawa jana arusha
Hii inaashiria kuishiwa nguvu kwa ngome ya ukawa

Duh! Hii ndio taabu. hivi ule ugonjwa wa mtindio wa ubongo una sababishwa na nini vile?
 
Wolper ni msanii sishangai alikuwa ana haja gan ya kudanganya na anajidanganya mwenyewe sie tunaenda na ushind tu
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

Hajamuharibia bali wasanii kwa wasanii wamekutana. Lowasa kwa usanii alipanda mpaka daladala! Huyu hafai hata kuwa rais wa TFF.
 
Huyu mdada magumshi sana,nasikia alipewa hela hawape wasanii wenzake akapiga pangaaa,sasa anajiabisha hivii
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

Na haya ni nini ya makomeo
 
Mimi ni CCM ila mafuriko ya jana ni hatareeee na jana nimeamua rasmi kusupport mabadiliko maana chama kweli kimeishiwa pumziii
 
Amechanganyikiwa huyu,kwa sasa kichwa chake hakija tulia,kwanza anawaz yulw mume wa mtu itakuwaje,wakat picha ashapiga za pete na kutuma mitandaoni!ye angejua kwa sasa angedil tu na huyo bwana wakee
 
wolper uwaaa namuona akiri take na yeye alivyooi Kama ana depression ya kuachwa achwa na wanaume kila siku.ivoo msimshangae Sana akiri yake ndio imeishia apoo.
#hapa kazi tu.
 
Hii ni bada ya kucopy na kupest picha ya guinea kwa madai kwamba ni picha ya mkutano wa ukawa jana arusha
Hii inaashiria kuishiwa nguvu kwa ngome ya ukawa

Hizi ni za Guinea? nyambaafu

11870638_1240188206006729_3485394884588550644_n.jpg


11892243_1240188119340071_6020526462161287749_n.jpg


12105879_1039602919425885_5687749639153204052_n.jpg


11218885_1039602959425881_928485320760986956_n.jpg


12047134_10153650272754328_4218212915010272596_n.jpg
 
Hiyo ni habari ya Instagram ambayo inaeleweka wazi mtandao huo ukoje na una mambo gani, labda nikuuleze tu hivi umeishawahi kuja hapa JF na kuzungumzia juu ya BUHOHELA kuchanganya picha za video katika taarifa za habari? kwani mara nyingi pale CCM inapokuwa mikutano yake imedoda uweka clip ya Magufuli alipokuwa Mbeya huko kiuhalisia mkutano unakuta ni wa kule Simiyu ni vema ukatuweka wazi kati ya Wolper na huyo BUHOHELA ni nani mkosaji mkubwa kulingana na chombo kilichotumika kutoa habari hiyo?

Siku zote ukweli utakua ukweli tu, hyo picha ya conakry ilikua ya nini sasa kupost wakati mnajua sio Arusha,
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Back
Top Bottom