Angalia tu isijekua umenizidi huo ujinga,Singida kuwa katikati ya nchi ni Jiografia na si Historia. Elimu yako ina walakini, kuwa msomaji. Usianzishe mada, ficha ujinga wako
Stupid questionSamahani Comrade, How old are you?
Manunuzi ya midege ya Atcl na ujenzi wa fly overVitu gani vipya vinatakiwa kuwekwa kwenye hiyo historia?
Wewe ni mke wake au secretary wake?Stupid question
Another stupid questionWewe ni mke wake au secretary wake?
Huo ndio wasiwasi wa vyama ambavyo havina dola,"History is written by victors"
Je itafundishwa historia ya kweli au propaganda? Historia ya kweli inaonyesha mazuri na mabaya lakini ni vigumu sana kwa serikali kukiri makosa iliyofanya. Kwa mfano historia ikionyesha mazuri aliyofanya Nyerere na bila kuyaonyesha mabaya aliyofanya, hiyo ni propaganda.
UPUUZI ULOANDIKA NA KUPOST UMETOKANA NA JINI???π€£π€£π€£π€£ππππππMchakato wa kuanzishwa somo la historia ya Taifa letu umepingwa sana na wafuasi wa vyama vya upinzani hapa nchini.
Inashangaza kwa Raia kutotaka kujua historia ya Taifa lake.
Jambo la kusikitisha mno katika baadhi ya mijadala hapa jamvini unakutana na comment ya mtu ambaye anasema kwamba hakuwahi kujua kama Singida ipo katikati ya Tanzania na sio Dodoma, lakini mtu huyo huyo haoni umuhimu wa kuwa na somo la historia kuhusiana na Taifa lake.
Ninachokiona hapa ni woga tu usiokuwa na mashiko kwamba labda kwakua serikali iliyopo madarakani ni ya CCM basi itajipendelea na kujipa nafasi kubwa kwenye somo husika na mambo yahusuyo vyama vingine kutohusishwa kabisa.
Jamani tuacheni woga usiokua na msingi, kitachofundishwa ni historia ya Taifa sio maswala ya vyama.
Baada ya kusema hayo naomba Wizara husika iharakishe mchakato huo ili kuwapa fursa wanafunzi kujifunza maswala muhimu ya kitaifa.