Woga mwingine bwana

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuna dogo tuliwahi kumshikiria achome shindano si ndo akaachia ushuzi halafu ni ule wa ufufuuuu...basi ilikuwa balaaa maana wodi yote wagonjwa wakapona
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wewe unanibishia mimi sindano zenyewe zilikuwa kila baada ya masaa manne jeshini airpot mwanza na ilikuwa mwaka 2012
 
kuna dogo tuliwahi kumshikiria achome shindano si ndo akaachia ushuzi halafu ni ule wa ufufuuuu...basi ilikuwa balaaa maana wodi yote wagonjwa wakapona
wee utakuwa wa kile chama, si bure!
 
Ah! woote nyie mnitahiri mimi tu! kidushe chenyewe kidogo woote... sikubali, acha niitwe mtu mzima...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…