Wizi wa matela CRDB

Atakae kuja kukushambulia tu utajua ni teller, na itampa machungu ya kutafuta pesa kwa nguvu hizi kazi awaachie dada zake. Hapa watakupongeza kwa kuwafungua macho.

Kuna wawili nishawasoma hapo juu.. Mwingine anasema nakaa kwa shemeji teh teh teh..

Shukrani kama nitakuwa nimewafungua macho.
 

kamata mwizi meeeeen! matela wengi ni wezi lakini wale wa NMB wametia fora, tena wao hawakuibii live ila wana~deduct pesa kutoka kwenye akaunti za wateja hasa wale wenye pesa nyingi. wateja wa NMB kuweni makini sana na huu wizi unaofanyika bila chembe ya soni. kwa CRDB ni vigumu kuiba kwenye akaunti kwa kuwa kila hela zikitolewa mteja hupata meseji kwenye simu yake. ndio maana wao huiba manually (not electronically) kama anavyolalamika mtoa mada. tuungane pamoja kukemea UWIZI huu. tusiwachekee hawa WAIZI.
 
Salute buda kumbe umekura adi papa xema daa kaumia yule
 
Mimi nimependa hiyo PAYLAW ......payroll

Mtu kama huyu paylaw badala ya payroll...hahaha sasa kwa nini asiibiwe kama payroll tu haifahamu au lah kwa nn asilalamike anaibiwa hata kama kwenye list hajaweka na kampuni yani kwa siku husika
 

Masai dada vipi wewe ndo mama yake na huyo alieitiwa mama yake mbwa? Ungejisikiaje kwa yale uliopitia na mwanao toka dayone unatungwa mimba hadi mwanao anapata kibarua cha kujipatia riziki achilia mbali uwizi anaofanya ambao sisi mpaka sasa humu tunacomment shutuma na hatuna uhakika
 
Ya mtoa mada ni yale ya alitoa cheni kapewa pesa bandia na alitoa pesa bandia kapokea cheni ya bandia = mtoa pesa kwa teller kadeposit pesa za njia isiyo ya halali yani wizi na matokeo yake teller nae ka deposit kiwizi
 

Sehem kama hii watu kama nyinyi hamkosekani! eti nyekundu tano fix ili na wew uonekane una hela kuchafua kazi za watu hapo unapo sema wew wapo vizur zaid ya unavyo vifikiria wew!
 
Hata mimi imewahi kunitokea hapa singida,kuna teller mmoja bonge bonge hiv siku hizi kahamishiwa kitengo cha kuwafungulia wateja akaunti alinipiga wekundu watatu,nilivyo mletea balaa akawa ananifanyia kinyongo kunihudumia mpaka meneja alipoingilia kati.waizi sana watu hawa
 
Sehem kama hii watu kama nyinyi hamkosekani! eti nyekundu tano fix ili na wew uonekane una hela kuchafua kazi za watu hapo unapo sema wew wapo vizur zaid ya unavyo vifikiria wew!

Jambaz sikulazimishi kuamin ile pesa ilkuwa ya mkopo nmekopa belita niunge ninunue place......kilichonikuta ndio hicho
 

Nilisikia aliendekeza hako kamchezo huko akafukuzwa
 
Itakuwa nawe mwizi ndo mana ukamwachia kirahisi,mimi ata angeiba buku yangu tu angejuta kuzaliwa.
 
CRDB sio matela tuu, kila penye hela wanapiga. Kuanzia mikopo mibaya inayotolewa na loan officers na relationship managers hadi procurements za hovyo hovyo. Kuna dada alipelekwa pale msaidizi wa kimei alikuwa anapigapiga kelele na wizi humo ndani sijui siku hizi kachoka
 

Haa haa hii stori nimependa..jamaa unatisha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…