Wizi wa magari Dodoma

Funga Track Solid. Ikifungwa inafungwa sehemu ambayo mtu hawezi kuona kwa Urahisi.. Kokote Linakoenda, Unakuwa Unaliona, hadi Spidi linayotembea
Mbinu mpya hii
CHUKUA SIMU HATA NDOGO AMBAYO HUITUMII... ifiche ndani.ya gari mahali pasipojulikana... wakiiba basi watu wa cyber wanai truck simu kirahisi sana
katika zote hizi nazipa 100%
maana hawa wezi wanakukamata getini kwako unapoenda / kusubiri geti ifunguliwe wanaingia na wewe au wanakusubiria, aidha mnaondoka wote na wanakutupilia mbali sasa lazima uwe na access nyingine ya ktrack gari au familia yako ikufuatilie
km unayo mwenyewe kwenye simu basi watakutupa na watokomee na kigari chako
 
Funga security alam kwenye switch on.
Ili akiswitch on tu! Ipige kelele.
 
Kwa udadisi wangu minaona nyie ndo wezi km cyo kutisha watu ili muuze ving'amuzi vyenu.

Ila mjue kama siyokweli! Basi mnalichafua jeshi la police chini ya kamanda N S siro. Akisaidiwa na kamanda muroto.
 
kwanza huna gari ndio maana unasema hivyo
Kesi zote zinazoenda Mahakamani Sirro na Muroto hawapo?
km sisi ni wezi unataka tukale wapi? au wakale wapi na ndio wanaobadili namba za magari na yanarundikana Vituo vya Traffic
kila kona kuna wezi hata maofisini ndio maana kuna kitu inaitwa POLISI
 
Kwa udadisi wangu minaona nyie ndo wezi km cyo kutisha watu ili muuze ving'amuzi vyenu.

Ila mjue kama siyokweli! Basi mnalichafua jeshi la police chini ya kamanda N S siro. Akisaidiwa na kamanda muroto.

Kwa kupenda kutaja taja majina ya vigogo kila thread mara katibu mkuu kiongozi,mara Sirro.

Acha ushamba Manka.
 
Kwa kupenda kutaja taja majina ya vigogo kila thread mara katibu mkuu kiongozi,mara Sirro.
Acha ushamba Manka.
huyu masanja One kila mahali anadakia naona kaonja au zimemzidi za ulabu
post zake zote anapinga
asubuhi ikikata ataanza kujijibu
 
Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa mfano huyo mdau wako akiamua kuwa mwizi, si anakuja na kiwaya tu anaweka hapo palipotolewa fyuzi then anawasha na kusepa..!! SI anapajua
 
Hayo ni marupurupu ya Dodoma kuwa jiji.

Mjipange kuyakabili
 
Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukinyofoa hiyo fuse gari haiwaki maana inakuww inapoteza kumbukumbu yote...
 
Fuga mbwa wakili hapo kwako...
Fensi yako izungushie ulinzi wa umeme...
Weka mlinzi
 
ua washenz hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yale mapaa wanayaita mgongo wa tembo ni uharibifu wa resources kabisa aisee.
Yule Mtangazaji wa ITV kule Zanzibar FAROUQ KAREEM ndiye Kiboko ya hawa Wezi wa Magari,Mungu akinijaalia kupata Gari nitamfuata anipe maujanja yale.
 
Ww ni mwivi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…