KAMPUNI ya vinywaji baridi ya Coca Cola imetajwa kuwa miongoni mwa kampuni zisizolipa kodi.
Akijibu, Chijoriga alizitaja kampuni kama vile Vodacom na Celtel kuwa zinalipa kiasi. "Wapo wengine ambao hawalipi kabisa," alisema na kuongeza kuwa atazihifadhi majina kwa sasa.
Hata hivyo, baadhi ya wabunge, akiwamo Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ambaye pia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, walimtaka ataje kwa kile walichomweleza kuwa analindwa na Kamati hiyo ya Bunge na ndipo akaitaja Kampuni ya Coca Cola kuwa ni miongoni
Hivi kweli tunataka kuendelea? Tuna tatizo mahali!
If these giant companies are not paying, from where does the govt get its revenue which is increasng every month?
ni wakati sasa wa kulitilia mkazo suala la mapato ya kodi tanzania !!
angalia mzee kuna watu watailaumu ccm hata kwenye issue ya kodi hapa. au umewasahau!
Waandishi wengine bwana, kichefuchefu tu. Huyu alishindwa kuelewa kilichozungumzwa akakurupuka na heading tu bila kujua aandike nini kuhusu hiyo heading.
Makampuni yote yaliyotajwa yanahudumiwa la Large Taxpayers Departrment ya TRA, maofisa wake wakienda pale TRA wanapokelewa kwa chai, soda na makaribisho mengine kama wateja wanaoheshimika. sasa iweje leo tuambiwe hawalipi kodi
The fact is hawa watu wanalipa kodi. Note that sio makampuni yote yanahudumiwa na Larget Taxpayers Department, ni lazima u-qualify kuwa large taxpayer, na moja ya criteria ni kiasi cha kodi unacholipa. kama kuna aina fulani ya kodi na mwanya unaotolewa na sheria ya kodi basi tuambiwe hivyo, na sio general statement ya "Hawalipi ikodi" ndio maana nilisema huyu mwandishi hakuelewa kitu gani kulikuwa kinaongelewa.
Kurekebisha kiwango cha ushuru wa bidhaa katika huduma za simu za mkononi kutoka asilimia 7 ya gharama ya matumizi ya huduma, hadi asilimia 10 ya gharama hiyo. Sababu kubwa ya rekebisho hili ni kwenda sanjari na mfumuko wa bei (adjustment forinflation);