Wizi kwenye ATM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi kwenye ATM

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Perry, May 16, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Heshima mbele wakuu!wajamen naomben kuulza,kuna ndugu yangu mmoja ana a/c kwenye bank ya crdb,kakuta kias kikubwa cha akiba yake hakipo,sasa akajarbu kwenda kwenye bank husika kuomba bank statement inavoonyesha kuna pesa zlichukuliwa tarehe flan bila yeye kujua na mchukuaji atakua ni mtu wake wa karibu ambaye anajua hadi pasword zake,sasa ninachoomba 2saidiwe ni jins ya kumjua huyo m2 alyeituibia hzo fedha!natangulza shukran.
   
 2. O

  Ombeni Charles Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani kwenye ATM si kuna kamera za usalama? We mwambia aende awaone wahusika watamwonesha picha ya huyo aliyeenda kudroo hiyo pesa.
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Nalazima atakuwa mtu wa karibu sana na familia yake...Mke/Mume,Mtoto, Rafiki wa karibu sana, Hawara, etc
   
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Ni rahisi sana Tulisha mkamata mshikaji wa karibu sana kuwa ni mwizi. unaenda kufungua kesi au muulizie meneja ili mambo yaende fasta.
  kwenye bank statment itaonyesha siku zilio ibiwa wataangalia kwenye camera on exactly date huyo ataonekana ila pole sana kama atakuwa alivaa BAIBUI!!!siku hizi wanaiba kwa kuvaa ninja!!

  cheers!!
   
 5. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pass word ni siri unashauriwa usiisave sehemu yoyote ikae kwenye blain yako
   
 6. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ok ..unachotakiwa kufanya ni kuandika barua ya malalamiko kwenda kwa branch manager wa brach uliyofungulia account...from there wao ndo wataendelea kufanya investigation including kuangalia images za CCTV camera kuangalia ni nani aliyechukua hela.Kwasababu hela zimechukuliwa through ATM kwa password yako then bank haipo liable kurudisha hela sana sana itakupa images kwa ajili ya ushahidi mahakamani....nakushauri siku nyingine usiweke password yako na card pahali pamoja
   
 7. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  that PIN and not PASSWORD
   
 8. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Unashauriwa kutunza namba yako ya siri 'sirini'.
   
 9. p

  pointers JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  siku hzi watu wanaibiana sana kwa style hizo
  tatizo ni kwamba watu wengi wanaweka miaka yao ya kuzaliwa kuwa ndo PIN
  AU birthday zao na wengine wanaweka PIN kwenye simu zao za mkonono
  pia wengine wanaweka pin na card pamoja yaani wanaandika kwenye karatasi then wanaweka
  pamoja na card.
  wengine huwa wanatuma ndugu zao au marafiki kwenda kuwachukulia hela sasa unakuta hyo mtu tayari anaijua PIN yako
  anachofanya ni kuiba card na kuirudisha palepale.

  So we have to be very careful and trust no one
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Jinsi ya kumjua huyo mtu kwanza anahitaji ushirikiano wa Benki.

  Benki watamwambia hizo pesa zilitolewa kwenye ATM ya station gani. Na wanaweza kuwa na backup ya images ya watu walioenda kutoa pesa kwenye ATM hiyo kwa muda ambao transaction zilifanyika.


  It very simple kama benki

  • wanakubali kutoa ushirikiano
  • Wana securuty system in place kwenye vituo vyao vya ATM.
  Lakini kibongo bongo sijui but hata kama benki haipo liable kwa wizi huo kama sio wewe uliyezitoa wambie unatak wakupe msaada wa kujua nani alizotoa. May be u might need kupata kibali cha polisi ili benki waweze kutoa ushirikiano.
   
 11. zizon

  zizon Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo mwizi anaweza kupatikana kama anafahamika na watu wajamii yako ,swala lipo ivi jamaa yangu hata ukienda kwa meneja bila kuripoti police ni kazi bure kwani hiyo ni jinai sasa unacho takiwa toa taarifa kituo chochote jirani yako theni afisa upelelezi kwa kibali maalumu atakwenda kuonana na manager wa benki husika hao ndo wanao ruhusiwa kupata picha za wizi wowote hapo bank labda kama bank manager unaujuani naye wa ndani.
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Muulize vizuri shemeji na familia! Kabla haujaamua kulipeleka suala hili kisheria zaidi, utakuja kuumbua one of your own buree!
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,505
  Likes Received: 5,736
  Trophy Points: 280

  ndugu kama wenzangu hapo juu wala asiumize kichwa ila akubaliane na atakayoyakuta... Aende kwenye main branch aliofungulia account ataa kama watakachofanya wataangalia sikuhiyo amechukua atm gani??baada ya hapo ataitwa..baada ya hapo ataonyeshwa aliechukua ila naomba awe mpole na atakayoyakuta..nasema hivi sisi tuliwahi kutaka kudondoka...kuna mamamdogo alifiwa na mumewe alipokufa nyumban akabaki na watoto wa kike wa wawili na mwanaume mmoja..wa kike wako magereza wanafanya kazi.....marehemu akalipwa kiaasi kadhaa kingi tu kama milion 35,,wakatoa hapo tano ikabaki 30,,...yule mwanamke wa magreza akawa ana jamaa lake linamsumbua lina shida ya akununua gari ..ati akamwambia amuazimie sehemu million 2.5 atamrudishia baada ya mwezi....lilivyo jinga likachukua kadi ya maza wake likavuta million 1 kesho yake 1..keshoyake 1..akawa ametoa tatu kwa siku tatu pale mliman .city.hii ya mwisho aliichukulia pale shell ubungo ya oilcom...gafla maza akawa anatuma hela kwenye ujenzi..akakuta he imeliwam million 3..ndipo alipotushirikisha ndugu wa karibu..tukampeleka pale kwenye branch yake wakaangalia wakaona zilipigwa mil 2 mliman city na moja ubungo..akambiwa aende mliman amwone bwana mmoja anaitwa j.akatuingizandan akasema kaen hapo akaingia sehemu na kuanza kurusha mambo yake loh!!!! Ilipofika huo muda maana ukichukua wameonyesha imechukuliwa saa ngaapi..ndugu tunamwona mdogo wetu wa kike ..ndio huyo kampa tena sio mume bwana lake..wakavuta ya ubungo shell sikuhiyo huyo huyo yaani mpka anaweka kwenye pochi tukaomba kesho yake tuje nae...alipoambiwa alikana kabisa mpaka akamwapia marehemu babake..aisee kuna wanawake ngunguri....gari ikaenda kumchukua na mamake mpaka mliman city we alipofika anaona cinema ya mitun chakraboti akaulizwa wewe si huyu akaanza kulia jamaa wa bank wakamchukua wakamwingiza ndan wakaanza kumpa vitisho hizi hela n za bank si mamako kwa sasa tuambie unaturudishiaje ..wakampiga mikwara akadai amempa bana lake..tukachukua polisi mmoja tukaenda kwa jamaa bahati tukamkuta akadai alipewa 2 tu na aliahidi kumrudhsia baada ya miezi sita wee...akabebwa akiwa njian akaelezwa zimeibiwa bank na hi n kesi ya bank jamaa akaomba arduishwe hme akachukue kadi audishe so asiumize kichwa swala ni jinsi ya kupokea atakaponyeshwa aliezchukua
   
 14. T

  T.K JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Senetor umechukua mzigo wa watu sasa unataka kujua kama utajulikana au ha! ha! ha! ha!.....its jokes tu!...ila umema kiasi kibwa ni zaidi ya million or?.......sababu kutoa hela kwenye ATM haiwezi kuzidi million ikizidi hapo inamaana ilitolewa ndani na ni kosa kwa teller kutoa pesa kwa mtu asiyemiliki hiyo accnt, sbb hata kama unakwenda mke kuchukula hela za mme hawatampa.......but kama walisema wengine hapo juu just nenda kwa bank manager mueleze watakusaidia...nafikiri mkipitia polisi mlomlongo utakuwa mrefu sana sbb nynyi mnachotaka ni kumjua tu nani aliyezichukua hizo hela
   
 15. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole ndugu, zingatia ushauri wa wana JF hapo juu kufuatilia bank ila napo itategemeana na bank manager kwani kama naye ni njaa kali ni taaaabu kwelikweli! Wanasema kufa kufaana. Nasema kwa mara ya tena poleni sana.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  kumbe na mahawara nao wamo eeh? usije ukafunga kesi na mwenza akaja kutoa support,mkifika mahakamani hawara anasema ulimpa mwenyewe akachote kodi ya pango!
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
   
 17. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Very interesting story, thanks!
   
 18. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Huyu lazima aligawa paasword inawezekana alimpa hawara katika kuvutia utambi kwake
   
Loading...