NMB mobile na wizi wa pesa kwenye acount za wateja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NMB mobile na wizi wa pesa kwenye acount za wateja

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mbasajohn, Jul 5, 2011.

 1. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivi karibun imegundulika kuwa mfumo wa kujiunga wa nmb mobile unatoa mwanya wa wez kuiba pesa kwenye acount za wateja wa nmb h n ktokana na ukweli kuwa mwiz anahtaj kujua ac no. Jina na tarakim tano za mwsho kweny atm kad kuweza kufungua nmb mobile na baada ya hapo anauwezo wa kufanya k2 chochote ndan ya akaunt ya mteja.
  Hili limegundulika hv karibun pale mwalim m1 mteja wa nmb alipojkta akiibiwa zaid ya 1.5 m kwenye akaunt yake na m2 ambaye alifungua nmb mobile bila taarifa ya yake.
  Kwa kushlkiana na police walifanya uchunguz na kugundua kuwa watu zaid ya watano wengne walikuwa wameibiwa kwa njia hyo kias kikubwa cha pesa.
  Cha kushangaza nmb walikataa kutoa namba iliyotumika kuiba wakdai kulinda privacy ya mteja mwiz mpaka police walipowataka watoe kwa nguv.
  Kioja kngne kilikuja pale namba hyo ya cm zantel ilpokutwa haijasajliwa na zantel kukata kufanya chochote kumjua mteja wao huyo ambaye alishrk wiz huo.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kujiunga NMB mobile unahaitaji kuweka pin ya ATM so hizo story uwongo mtupu.
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ngoja nijaribu NMB MOBILE ya wife nione kama itakubali....kisha nitatoa matokeo hapa jukwaani
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa Mkuu.Mwanzisha thread anapaswa "kutunga" story inayokaribiana na ukweli, siyo hiyo aliyotuwekea.
   
 5. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Au katumwa kuwaharibia wenzake biashara!.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hawa ndo wanaotuharibia benki yetu ya wakulima,wezi walikuwa hawatubughudhi manake salio ni flat rate wateja wote laki 2 kuanzia tarehe 25 na minimum balance tarehe 2! sasa mwalimu gani huyu anakuwa na 1.5 M za kuibwa! watu banaa!
   
 7. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mkuu mambo ya mtandao yanawezekana coz me nina akaunti za paypal za mtandao if i want to buy stuff i just write three ends digital zilizopo kwenye atm kadi yangu na sio namba yangu ya siri,nadhani umenipata.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Inabidi ulogin into paypay kwanza ambayo inahitaji password.
   
 9. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Sio paypal pekee hata nikitaka kufanya online purchasing wanachotaka wao ni namba tatu za mwisho za kadi yako c kingine
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Weweunaongelea credit card, huyu jamaa nadai unaweza kufungua NMB mobile ya mtu yoyote ili mradi uwe na Ac. No, Jina na No. tano za mwisho za kadi kitu ambacho si kweli, UNAHITAJI ATM PIN kufungua NMB mobile account.

  Credit card ziko protected, kama mtu akiitumia bila idhini yako unarudishiwa hela ukiripoti, kwa hiyo haili kwako.
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hili halijaniingia akilini maana katika kujisajili kunahitaji account number, atm card number na pin number ... kwa mtu akiwa anajisajili hivi vitu lazima ajue na pia huo wizi atakuwa anafanyaje maana ukitransfer pesa lazima bank statment ionyeshe imeenda kwa nani labda kama hizo pesa anunue vocha au umeme
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  [h=3]NMB mobile Benefits[/h]
  • No registration fee
  • No monthly fee
  • Pay as you use
  • Works on every phone
  • Accessing your account anywhere
  • Transfer money to other NMB accounts,purchase LUKU and mobile phones top up
  [h=3]NMB mobile Services[/h]
  • Balance Inquiry
  • Mini-Statement
  • Transfer money to other NMB accounts
  • Purchase Luku, Tigo, Zantel, Vodacom or Airtel Airtime
  • Stop lost or stolen NMB Card
  [h=3]How to Join NMB mobile[/h]
  1. Dial *150*66*123#
  2. Select your language (Swahili or English)
  3. Identify yourself by entering your Account Number and ATM PIN number
  4. Select your new NMB mobile PIN (your own choice) and re-confirm it
  5. That's it - you're ready to use NMB mobile! Dial *150*66# to start banking immediately!
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  from above inaonekana unahitaji
  Account number..., ambayo sio kazi kuipata sababu hii sio siri
  ATM pin number ni namba nne tu sio kazi kuzi-guess as well as watu wengi huwa wanaweka mwaka wao wa kuzaliwa
  kuhusu number kuwa registered unaweza ukachukua sim card number mpya ukaifanyia uhaini kwa haraka
  Pia unaweza ukatumia nmb mobile kama pesa faster yaani ukachukua pesa kwenye atm bila kuwa na atm card
   
 14. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kinachohtajka sio pin number n serial number ya atm kad ambayo iko waz kabsa kwenye kad
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu this is according to their website How to Join NMB mobile[/h]
  1. Dial *150*66*123#
  2. Select your language (Swahili or English)
  3. Identify yourself by entering your Account Number and ATM PIN number
  4. Select your new NMB mobile PIN (your own choice) and re-confirm it
  5. That's it - you're ready to use NMB mobile! Dial *150*66# to start banking immediately!
  ]NMB mobile
   
 16. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mweshimiwa acha kupotosha watu knachohtajka sio namba ya siri ya atm bali namba tano za mwsho upande wa kulia ambazo zko kwenye kad na sio siri na naweza zkop hata bila we knpa kad yak 2liwa kwenye folen bank au hata popote pale.
   
 17. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pin inayosemwa hapo sio namba ya siri bal tarakm tano za kwenye kad mi ninatumia nmb mobile najua
  na kuhusu hu wz umetokea tawi la ppf mwanza na kesi iko kituo kikuu cha police mwanza
   
 18. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kutoka site ya NMB, hatua za kufungua NMB mobile account.

   
 19. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama unadhan nadanganya nenda kituo kikuu cha police mwanza kitengo cha cyber crime kaulize kama hakuna kesi hyo kwenye register yao.
  Pili kinachohtajka sio namba ya sir bal tarakm tano za mwsho za atm kad ambazo zko kulia mwa kad mkabala na ac no.
   
 20. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Namba nne zinatengeneza 10,000 combinations na kama hiyo system imetengenezwa kwa standards itakataa kupokea namba baada ya kukosea mara kadhaa kama sim card inavyojilock ukikosea mara tatu.
  Sijui NMB lakini kwenye experience yangu ATM pin ya cadi hauchagui mwenyewe, kadi inakuja na PIN yake kwenye secure envelope, hii inaondoa uwezekana wa mtu kuweka birthyear au namba rahisi kama 1111, 2222.
   
Loading...