Mim ni mteja wa crdb bank nna visa card ya bank tajwa hapo juu. Nliibiwa tembo card yangu na mwizi akafanikiwa kuniibia kiasi cha 3.7m kwa mda wa siku tatu.
Siku ya kwanza alitoa one M.
Siku ya pili 1.7m na siku ya tatu 1m.
Ikumbukwe kwamba maximum transaction kwa siku ni one Million kwenye atm Lakin huyo mwizi alitoa 1.7 kwa siku.
Vile vile mim nimejiunga na sim banking Lakin tangu niibiwe sikuweza kupata sms toka sim banking kwamba card yangu inatumika mahali.
Kwa maana hiyo mwizi aliblock mawasiliano yangu ya sim banking ili nisijue kinachoendelea.
Baada ya kugundua nimeibiwa nilienda kwa meneja wa crdb kumueleza kilichotokea na majibu yake ni kwamba hawausiki na wizi wa kwenye atm Hilo ni la mteja mwenyewe. Na bank haifidii chochote.
Ndugu wanasheria mliobobea naombeni msaada hapo wa kisheria kama naweza kuishtaki bank au la.