ndugu kama wenzangu hapo juu wala asiumize kichwa ila akubaliane na atakayoyakuta... Aende kwenye main branch aliofungulia account ataa kama watakachofanya wataangalia sikuhiyo amechukua atm gani??baada ya hapo ataitwa..baada ya hapo ataonyeshwa aliechukua ila naomba awe mpole na atakayoyakuta..nasema hivi sisi tuliwahi kutaka kudondoka...kuna mamamdogo alifiwa na mumewe alipokufa nyumban akabaki na watoto wa kike wa wawili na mwanaume mmoja..wa kike wako magereza wanafanya kazi.....marehemu akalipwa kiaasi kadhaa kingi tu kama milion 35,,wakatoa hapo tano ikabaki 30,,...yule mwanamke wa magreza akawa ana jamaa lake linamsumbua lina shida ya akununua gari ..ati akamwambia amuazimie sehemu million 2.5 atamrudishia baada ya mwezi....lilivyo jinga likachukua kadi ya maza wake likavuta million 1 kesho yake 1..keshoyake 1..akawa ametoa tatu kwa siku tatu pale mliman .city.hii ya mwisho aliichukulia pale shell ubungo ya oilcom...gafla maza akawa anatuma hela kwenye ujenzi..akakuta he imeliwam million 3..ndipo alipotushirikisha ndugu wa karibu..tukampeleka pale kwenye branch yake wakaangalia wakaona zilipigwa mil 2 mliman city na moja ubungo..akambiwa aende mliman amwone bwana mmoja anaitwa j.akatuingizandan akasema kaen hapo akaingia sehemu na kuanza kurusha mambo yake loh!!!! Ilipofika huo muda maana ukichukua wameonyesha imechukuliwa saa ngaapi..ndugu tunamwona mdogo wetu wa kike ..ndio huyo kampa tena sio mume bwana lake..wakavuta ya ubungo shell sikuhiyo huyo huyo yaani mpka anaweka kwenye pochi tukaomba kesho yake tuje nae...alipoambiwa alikana kabisa mpaka akamwapia marehemu babake..aisee kuna wanawake ngunguri....gari ikaenda kumchukua na mamake mpaka mliman city we alipofika anaona cinema ya mitun chakraboti akaulizwa wewe si huyu akaanza kulia jamaa wa bank wakamchukua wakamwingiza ndan wakaanza kumpa vitisho hizi hela n za bank si mamako kwa sasa tuambie unaturudishiaje ..wakampiga mikwara akadai amempa bana lake..tukachukua polisi mmoja tukaenda kwa jamaa bahati tukamkuta akadai alipewa 2 tu na aliahidi kumrudhsia baada ya miezi sita wee...akabebwa akiwa njian akaelezwa zimeibiwa bank na hi n kesi ya bank jamaa akaomba arduishwe hme akachukue kadi audishe so asiumize kichwa swala ni jinsi ya kupokea atakaponyeshwa aliezchukua