Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
kweli hiki ni kituko cha mwaka
Leo hii wizara hii imeshindwa kufanya kazi baada ya NHC kuwatolea vyombo vyao nje!!
wnadaiwa zaidi ya Shs 300ml na shirika hilo.
na ofisi ya Habari maelezo nayo vyombo nje pia.
source:Radio one breaking news at 1125hrs.
Duh....kwa mwendo huu huyo "dogo" wa NHC watamkoma!
"atatulizwa" huyu tu naye,hii nchi kila mtu na lwake
weeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hawana pesa, bilion sita za igunga na billions 114 za dowans zinatoka wapi? acha utani kabisa. Dogo mchechu kaziona, we wakamue tu usiwaogope japo ndo wako. aaaaaa mchechuuuu.Aisee! Wizara kushindwa kulipa gharama za pango?!! Ngoja tusubiri habari kamili, hii inanikumbusha sakata la wafanyakaz kutopewa kima cha chini 315,000. Huenda kweli serikali haina fedha au kuna wakubwa wanakamua kodi za wavuja jasho hadi tone la mwisho. Kaz ipo.
Mchungaji, nyingine ndiyo zile za kufanikisha kupitisha bajeti ya wizara (badala ya kulipa pango), zile za akina Jairo, ziko kila wizara siyo ya Ngeleja peke yake. Na huwa wanajivuna kwamba wao ni serikali kwa hiyo landlord wao (NHC) hatawasumbua.Pesa imeishia Igunga!
Safi sana Nehemia endelea na wembe huo huo mpaka Ikulu kama nayo ni NHC nayo fanya hivyo hivyo