rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,515
- 41,978
Yani mambo ni Magumu sana Unateua mawaziri badala ya kusimamia ukwelii wanakaa kukutukuzaa hata pale unapokoseaa...! Aibu sana yani.. Nasema bora uvuliwe madaraka lakini utakuwa umeokoa nafsi za watanzania zilizotakiwa kupotea kisa Siasa tala majii.
Haya leo Rais anakiri kuna Covid wizara ndo inaanza kuandika maujingaa yani upuuzi wa hali ya juu. Chama cha Madoctor nao akilii kizibooo yanii. Wasomi wakianza kuitukuza siasa jua nchi imepotezaa dira