Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 149
Pole sana mkuu,lakini pia nikuswalike kidogoNakazia hapa Wizara ya Afya Tanzania condom hazina ubora kabisa, wiki mbili zilizopita nimepatwa na hii kadhia, mzigo wote ukamwagika ndani
Ulifuata vizuri procedure ya uvaaji wa condom
Kama bado unaona kizunguzungu kunijibu
Tembelea kituo chochote cha Afya watakupa
Msaada mzuri sana kuanzia ufunguaji wa condom mpaka uvaaji lakini life span ya condom
Pamoja na storage ya hizo condom (Asante mkuu)