Ushauri: Wizara ya Afya anzisheni vituo vya Afya ya Akili Njombe. Matukio ya mauaji na ukatili yamekithiri

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Huu Mkoa wa Njombe watu wanafanya matukio ya ajabu na kutosha sana.

Ukichunguza sana bila shaka Kuna tatizo kubwa la Afya ya Akili na hapa ndipo Wizara ya Afya inatakiwa kuingia.

Kwa muono wangu nadhani visababishi vya haya mambo ni

1. Msongo wa mawazo uliosababishwa na athari za gonjwa la ukimwi

2. Matumizi makubwa ya bangi.Bangi ilikuwa ni sehemu ya mboga ni miaka ya karibuni ndio imejulokana kwamba ni dawa ya kulevya.

3. Tamaa za Utajiri zinazosababishwa na Imani za kishirikina.

4. Muingiliano mdogo wa Kijamii

5. Lishe duni,Njombe ni Moja ya Mikoa inayoongiza Kwa utapiamlo Tanzania.

6. Elimu duni.

Sasa Ili kukabiliana na matukio ya mauaji na Ukatili ni vyema Serikali Kupitia Wizara ya Afya ikaanzisha Vituo vya Ushauri Ushauri wa Afya ya Akili, rehabilitation centers na kuweka msisitizo wa Elimu Kwa jamii Kupitia nyumba za ibada, shule, masoko nk.

Aidha Elimu ya Lishe itolewe na ikibidi Watoto wa Shule wawe wanapata food supplements badala ya vikao vya Lishe visivyokuwa na Tija, toeni chakula.

Hali inayoendelea Njombe inasikitisha sana,imepita Mikoa ya Geita,Shinyanga na Arusha matukio ya ajabu ajabu.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1714752027480211509?t=Io6EVJHLSFRdtxe_QmNnbw&s=19
 
Screenshot_20231018-190407.jpg
 
Kwa kweli hawa jamaa ni hatari!wapole kwa sura makatili moyoni.
 
Bila kasahau sumbawanga maana ni juzi wamemzika mfanyabiashara kisa 1.8m TSH na bodaboda
Huu Mkoa wa Njombe watu wanafanya matukio ya ajabu na kutosha sana.

Ukichunguza sana bila shaka Kuna tatizo kubwa la Afya ya Akili na hapa ndipo Wizara ya Afya inatakiwa kuingia.

Kwa muono wangu nadhani visababishi vya haya mambo ni

1. Msongo wa mawazo uliosababishwa na athari za gonjwa la ukimwi

2. Matumizi makubwa ya bangi.Bangi ilikuwa ni sehemu ya mboga ni miaka ya karibuni ndio imejulokana kwamba ni dawa ya kulevya.

3. Tamaa za Utajiri zinazosababishwa na Imani za kishirikina.

4. Muingiliano mdogo wa Kijamii

5. Lishe duni,Njombe ni Moja ya Mikoa inayoongiza Kwa utapiamlo Tanzania.

6. Elimu duni.

Sasa Ili kukabiliana na matukio ya mauaji na Ukatili ni vyema Serikali Kupitia Wizara ya Afya ikaanzisha Vituo vya Ushauri Ushauri wa Afya ya Akili, rehabilitation centers na kuweka msisitizo wa Elimu Kwa jamii Kupitia nyumba za ibada, shule, masoko nk.

Aidha Elimu ya Lishe itolewe na ikibidi Watoto wa Shule wawe wanapata food supplements badala ya vikao vya Lishe visivyokuwa na Tija, toeni chakula.

Hali inayoendelea Njombe inasikitisha sana,imepita Mikoa ya Geita,Shinyanga na Arusha matukio ya ajabu ajabu.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1714752027480211509?t=Io6EVJHLSFRdtxe_QmNnbw&s=19n

Hiyo #6 ni kigezo tosha kuwa DINI pia ni tatizo.
 
Back
Top Bottom