Kwani kuna dawa isyokuwa na Flouride...?
Kuna watu hua wanalalamika hizo flouride zinawaumiza tumbo wengine zinawaletea kichefu chefu so nadhani kuna ukweli kwny bandiko lako.Sitaki kutaja na sijaongelea kirefu zaidi lakini amini flouride sio nzuri kabisa kiafya
Sitaki kutaja na sijaongelea kirefu zaidi lakini amini flouride sio nzuri kabisa kiafya
Ni vizuri ungezitaja ili tuzijue na tuziepuke huku ukishauri angalao aina mbili tatu tunazoweza kuzifanya mbadala otherwise utakuwa hujatusaidia bado.Sitaki kutaja na sijaongelea kirefu zaidi lakini amini flouride sio nzuri kabisa kiafya
Naona itakuwa hivyoKwani kuna dawa isyokuwa na Flouride...?