Mambo my spanish lady leo tumekutana, u mzima ? Lizzy nitakujibu asubuhi hope your ok.Dah! Ndefu sana. Asbh nitaisoma fresh, sahz nahisi usingizi.
Mambo my spanish lady leo tumekutana, u mzima ? Lizzy nitakujibu asubuhi hope your ok.
Dah! Ndefu sana. Asbh nitaisoma fresh, sahz nahisi usingizi.
Ulichokizungumzia hapo naona ni kama vitu viwili,Neno wivu jinsi ulivyolitumia umelielezea vizuri lakini kila nikijaribu kuangalia hapo kwenye ndugu naona ni kama vile unaongelea husuda,lakini anyway nitarudi tuendeleze mjadala.Hawajambo Unga LTD.
I hope sio kwa ubaya ila ni kwa uzuriGmorning Lizzy
mimi kuna dada namwonea wivu just because ana mtoto mzuri sasa hapo sijui inakuwaje?
Goodmorning dear!Hehehe...sio mbaya ila tu usije ukafikia kumchukia dada wa watu na katoto kake usije ukakaharibu sura bure. Maana ukizidi unaweza ukaanza kuona kama huyo dada anaringa kwaajili ya uzuri wa mtoto wake hata kama sio kweli...na njia pekee kumkomoa ni kuchakachua uzuri wa mtoto!Gmorning Lizzy
mimi kuna dada namwonea wivu just because ana mtoto mzuri sasa hapo sijui inakuwaje?
ha hahaaaaaa
Lizy umenikumbusha riwaya moja hivi inaitwa "Hiba ya wivu" kama kuna mtu aliisoma basi atakubaliana na wewe 100%
Lizy hii riwaya siikumbuki vizuri ila imeandikwa na mama mmoja anaitwa Zainabu M. Mwanga!!! kina mikasa mingi kuhusu mambo ya wivu wa mapenzi!!! jaribu kitafuta kwenye google ukipata nafasi.Susy embu nipe mistari michache kuhusu kitabu maana jina kama nalijua ila sikumbuki kama nilikisoma au lah!
Hehehe babu..oh samahani Mzee DC sasa huo ndo wivu unaopelekea/ambatana na chuki...asante kwa mfano hai!Wengi sana wanafanyiana vituko vya aina hiyo..hata sijui hua wanapata faida gani maana wanaweza kujaribu kuharibu alafu mwenzake akafanikiwa zaidi hata ya mwanzo.Ila ukweli unabaki pale pale kama ulivyosema mzee...inakera.
Hehehehe na kweli dawa yao ni kuwakomoa kwa kuendelea zaidi mzee DC.Ila hata hapa nyumbani yapo bwana...unakuta mtu muda wote ni kusema fulani anavyoringia sijui uzuri wake..anavyojiona na kigari chake...jinsi anavyodhani mkewe ni mtulivu kumbe wapi!Mpaka mtu afikie hatua hiyo unajua kabisa hawezi kukufikia mpaka anachukulia mafanikio yako so personal..na kinachobaki ni yeye kuongea vibaya kukuhusu maana kukunyang'anya hawezi na kukufikia ndo kabisa haamini kama anaweza.
ha hahaaaaaa
Lizy umenikumbusha riwaya moja hivi inaitwa "Hiba ya wivu" kama kuna mtu aliisoma basi atakubaliana na wewe 100%
Mimi naona siku zote WIVU sio mzuri.. Unaweza chukiwa bure, eti kwa saabu umemshinda rafiki yako class! au umependeza siku ya sikukuu, au kwenu kuna video (Enzi za Mwalimu)