Wivu!!

BW kweli ubinadamu kazi!Hapo hata akihitaji kitu ukamsaidia ataenda kusema ulimsaidia tu ili kumwonyesha unaweza!
 
Kwa vyovyote vile ilivyo tunaweza kuona kuwa wivu katika nadharia ya maadili (moral theory) ni tunu isiyo na upande - neutral value. Maana yake ni kwamba kutegemeana na mtu alivyo inaweza kuchukua upande mzuri au kwenda upande mbaya. Ni hisia kama hasira ambayo nayo ni neutral vile vile. Kumbe ni jukumu la mtu kujitambua anapojisikia wivu ni ni lazima ajiulize maswali mazuri ambayo yatasaidia kuongoza wivu ule kuelekea uzuri.

Swali kubwa ni hili: Je ninataka jema litokee katika hili au baya?
Imetosha kabisa kukuelewa mzee mwanakijiji,uko juu kama mpapai
 
Back
Top Bottom