KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Yaani unampenda bure demu wa mtu?,au huyapendi marinda yako ya TIGO?Nimekupenda bure mpendwa....
Yaani unampenda bure demu wa mtu?,au huyapendi marinda yako ya TIGO?Nimekupenda bure mpendwa....
Saana tu mamii?Acha kazi... Lea Ndoa... Duhhhh..... is this applicable karne hii kweli???
Lakini kumbuka kuwa huyo ana wenyewe bro?Nimekupenda bure mpendwa....
Ujue unaniumiza baby unapomlainikia mwanaume mwingine kwa mambo ya sebene sebene,kwani wewe hujui mimi nahitaji nini kwako?,nataka ileeeee,nataka ileeeee,nataka ileee au vipi?,yaani tim mtoto yuleeee ili nikukaze mamii,na usidengue mamii coz kuku mwenzie kisu la sivyo kuku huyo ni kuku pori au vipi?,nina imani safari hii umenipata kiundani sana tena sana(ashakum si matusi),na ujue maisha mafupi baby,tafadhali uje uchanue kama maua ya asumini.Ha ha haa yaani wewe
Asante bro,mimi nimemfunda sana Miss Chaga mpaka amekuwa demu muungwana na anaejali mwanaume wake anaemkamua au vipi?Kwa kweli nimeona ku like tu haitosh kwa jinsi ujumbe wako ulivyo wazi, tatizo watu bado hawajui mipaka na miiko ya ndoa yaani mtu yupo kwenye ndoa llakini anataka aish kama sio mke au mume wa mtu na hapo ndipo sida inapo anzia asante miss chagga kwa hakika mume wako hana hasara kubwa kwako.
Basi uwe unanijia kule faragha basi baby,maana msumari unanisumbua sana baby,yaani ni wa moto na tena ni wa kuchoma choma baby au vipi?,njoo pande hii uniondolee ugwadu mamii.Ha ha haa yaani wewe
Ama kweli miraa unakinzana nayo au ?Akikuzongua siku nyingine muulize swali hili "Hivi wewe mwanaume unavyonilinda kama miraa ulinikuta na bikra uliponioa?" Itakuwa mwisho wa usumbufu.
pole sanaHi guyz habari zenu,
Kuna jambo linanitatiza na limekua kero sana kwangu, mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, tatizo mume wangu amekuwa ni mtu wa wivu kupita kiasi nikiongea na watu wa jinsia tofauti ni ugomvi hata majirani kukaa na kucheka nao nakatazwa eti naambiwa mke wa mtu huruhusiwi kuzoeana na watu.
Sometyms ata nikiwa kazini once akipiga simu isipopokelea inakuwa kesi hata nikimueleza kuwa nakuwa occupied na kazi haelewi anadai tu lazima nipo na mwanaume, pia kutokana na proffesion naingia nyt shift.
Hapo ndo huwa napata changamoto jamani napigiwa simu na kuambiwa niache kazu ninayofanya niongee nae in case sijapokea kutokana na ubize nitagombezwa mpaka nitakoma, kweli imefika mahali nimechoka.
Please nishaurini jamani.
mmmmmmmhAnajua uko JF?
C hamuamini, ndio amwambie anachofanya (hiyo ya kupupu was kidding)We Muhaya au vipi?,nini maana ya HASIYE? au ulimaanisha ASIYE?,halafu unamshauri mwenzio akienda kukata gogo amwambie mume wake?,huoni hiyo itamkata matamanio ya vulva mumewe?,coz mambo ya kunya ni siri ya mwana ndani ya mwanamuke?,coz akiweka wazi jinsi yale mavituz yanaanguka na kunuka huoni itapunguza mshawasha ya mwanaume kula uroda?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mmmmmmmh
We Mrs Van mbona unaongea mambo ya sebene tu?,au unawashwa?,na kama unawashwa si useme wazi kwa wanaume wa JF?,sababu huna njia ya kutenganisha wapenzi wewe au vipi?,kama unawashwa mbona kuna Njemba kibao humu ambazo zinanuia kuwaondolea Kiu wanawake kama wewe?,tena UGWADU sugu huko kwenye ASHAKUM,yote ya kuchuruzika mshawasha wako au vipi?,marijali wako tayari KUKUKAMUA utoe uji wa chumvi wenye UOTO mlaiiiiniiiiiiiiiiiiiiiiii.
Tatizo la huyu dada lipo kwenye post yake ya siku za nyuma. Alikiwa analalamika kuwa mme wake yupo mbali na siku akirudi anakuwa na hamu naye sana ila wakifanya tendo hamu inaisha na hataki amsogelee . Sasa kama jamaa karudi moja kwa moja si atakuwa anamvaliwa jeans usiku? Sasa hapo anategemea nini zaidi ya jamaa yake kuwa na wasiwasi naye. Kama mlivyo mshauri, ajiangalie mwenyewe. Anatengeneza mazingira ya kutiaminiwa mwenyewe na tatizo analifahamu-anakosa hamu.
Lakini kumbuka kuwa huyo ana wenyewe bro?
Haya ni majibu ambayo yanasababisha ndoa nyingi zishindwe kudumu sababu watu wana sahau kuwa ndoa inapunguza baadhi ya uhuru na lazima ukubaliane na hilo
,lakin tatizo watu bado wanataka waendelee kuyafanya yale waliyo kuwa wakiyafanya kabla ya kuoa au kuolewa wakiwa kwenye ndoa zaozao, hili ni tatizo na ndoa zitawashinda wengi kwa kutafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu.ndoa ina miiko yake na ni tofauti na maisha ya kawaida usipo litambua hilo ni dhahiri utakuwa ni mtu wa kulalamikia ndoa miaka yote,
nipo kwenye ndoa miaka 14 sasa najua thamani ya ndoa yangu na ninajua ni kipi mke wangu hapendi na nisikifanye mbele yake hali kadharika na yeye anaheshimu hisia zangu , na sijawahi kuijutia ndoa yangu hata mara moja.migongano ipo na hutokea jambo ambalo ni la kawaida na huwa tunatumia busa na hekima ambazo mungu ametupa kutatua migogoro yetu ni kama tuna wahi mbaazi iliyo kauka kabla jua halijawaka sana ili isije ikapasuka na kuzirusha mbegu ambazo twaweza tusijue ziliko rukia na zitaokotwa na nani na atazifanyia nini , na maisha yanaendelea vyema kabisa
siyapendi haya maswalipole msaada ni wewe kutotengeneza mazingira ya kumuonyesha kuwa we si mwaminifu, mfano kutoongea na mwanaume acha au usifanye ajue , kuwa wazi kwake, fanya majukumu yako kama mama . ukienda kazini usiku jitahidi hata wewe uwe unamuanza kumchokoza ngoja nikuambie kitu wanaume wengi wanapenda kufuatiliwa sina maana ya kufokonyoa simu yake hapana .. maswali yale ya kijinga jinga umekula? upo wapi? mbona unaongea kama umebanwa huwa yanawakera hayo maswali lakini hiyo kero ndiyo wanaitaka ili wajione watu.. badilisha namna ya kuishi na mumeo .. halafu jifunze kuandika neno likaisha