Wivu wa mume wangu umekuwa kero

Wivu wa mume wangu umekuwa kero

Akili za kuambiwa changanya na zako.

1. Siyo wote humu ndani wana ndoa, lakini lazima watachangia; ushauri wao mara nyingi umebase kwenye theory zaidi,

2. Kuna ambao hawana ndoa kwa sababu wamezitafuta hawajazipata na wanawaonea wivu wenye ndoa, so ukija na matatizo yako ya ndoa unawapa faraja; watakupa ushauri wa kinafiki,

3. Humu kuna watu wana ndoa zenye matatizo pia, so wakiona mwingine anaelezea matatizo yake wanafurahi kuwa na wenzao; hawa pia watakupa ushauri wa kinafiki,

4. Kuna wale wa roho ya wengine waendelee kuwa na maisha mabaya tu, wanafurahi kuona wenzao wakiwa kwenye magumu bila kujali kwamba na wao wako kwenye neema au ugumu; hawa pia watakupa ushauri wakinafiki,

5. Mwisho kabisa kuna wenye nia njema na wenzao, watakupa ushauri mzuri na ukiufanyia kazi unafanikiwa, hawa ni wachache sana JF, ukiangalia vizuri katika kila posts 5 au 6 unapata ushauri mmoja, yanayobaki ni matani.
Kazi inabaki kwako kufanya uchambuzi wa uliyoshauriwa.

Hawa wenye nia nzuri wanaweza kuwa hata hawana ndoa, au ndoa zao zina matatizo, ila ni watu wenye nia nzuri kwa wenzao; hawa ni wachache sana.

NB: Kuna thread yako nyingine humu, vipi jamaa karudi?

Ushauri: Nakinai kufanya mapenzi
Ha ha haa yaani wewe
 
Wanawake pasua kichwa kweli.
Hayo akiyafanya mme wako utayafurahia au na ww utanuna?
 
pole msaada ni wewe kutotengeneza mazingira ya kumuonyesha kuwa we si mwaminifu, mfano kutoongea na mwanaume acha au usifanye ajue , kuwa wazi kwake, fanya majukumu yako kama mama . ukienda kazini usiku jitahidi hata wewe uwe unamuanza kumchokoza ngoja nikuambie kitu wanaume wengi wanapenda kufuatiliwa sina maana ya kufokonyoa simu yake hapana .. maswali yale ya kijinga jinga umekula? upo wapi? mbona unaongea kama umebanwa huwa yanawakera hayo maswali lakini hiyo kero ndiyo wanaitaka ili wajione watu.. badilisha namna ya kuishi na mumeo .. halafu jifunze kuandika neno likaisha
Una akili sana we mtoto..utadhani ulishawahi kudate na mimi...au nimesahau?
 
Kweli wivu ukizidi ni kero...ila hapo kwenye NIGHT SHIFT duh..hata mm ningekukera mamaa.
 
acha ujinga yaan jambo dogo hilo linakukera kwenye ndoa hadi uelezehuku? unaona hao majirani kupiga nao umbea ni zaidi ya ndoa yako? usipopiga nao story unapungua nini?
wasalimie kawaida fanya yako! halafu mpe ratiba yako ya kazini aelewe mda ambao uko busy sana huwezi pokea simu.

Ukipigiwa simu kama yupo weka loudspeaker yaishe. Ama mwenzangu una jambo lakuficha??


Naziona busara zako....big up !!
 
Akikuzongua siku nyingine muulize swali hili "Hivi wewe mwanaume unavyonilinda kama miraa ulinikuta na bikra uliponioa?" Itakuwa mwisho wa usumbufu.
 
Hi guyz habari zenu,

Kuna jambo linanitatiza na limekua kero sana kwangu, mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, tatizo mume wangu amekuwa ni mtu wa wivu kupita kiasi nikiongea na watu wa jinsia tofauti ni ugomvi hata majirani kukaa na kucheka nao nakatazwa eti naambiwa mke wa mtu huruhusiwi kuzoeana na watu.

Sometyms ata nikiwa kazini once akipiga simu isipopokelea inakuwa kesi hata nikimueleza kuwa nakuwa occupied na kazi haelewi anadai tu lazima nipo na mwanaume, pia kutokana na proffesion naingia nyt shift.

Hapo ndo huwa napata changamoto jamani napigiwa simu na kuambiwa niache kazu ninayofanya niongee nae in case sijapokea kutokana na ubize nitagombezwa mpaka nitakoma, kweli imefika mahali nimechoka.

Please nishaurini jamani.
Ndoa za sasa hakuna kuaminiana sababu kupitia cm hizi waume kwa wake wameanguka dhambini na wengi hawapendi kuchungwa wala kufuatiliwa kitu ambacho huashiria dalili mbaya na ukipata mume au mke asiye na wivu na asiye kuonea wivu unatakiwa upate mashaka makubwa ,kwa maana PALIPO NA UPENDO WA KWELI NA WADHATI KABISA WIVU HAUKOSEKANI hivyo unatakiwa kujua kwamba mahusiano mengi sana ya wake na waume za watu huanza na mazoea ya kawaida kabisa lakin baadae hupelekea kuanza mahusiano ya siri mpende sana mumeo au mkeo kama anawivu juu yako.
 
Akikuzongua siku nyingine muulize swali hili "Hivi wewe mwanaume unavyonilinda kama miraa ulinikuta na bikra uliponioa?" Itakuwa mwisho wa usumbufu.
Kama umeoa au umeolewa basi ndoa yako haiko salama kwa majibu kama hayo na usimhsauri mwenzio kuharibu ndoa yake.tusipingane na uhalisia kwa kutafuta majibu ya kuziridhisha nafsi zetu kwa mda mfupi PALIPOO NA MAPENZI YA KWELI NA YA DHATI KUTOKA MOYONI WIVU HAUKOSEKANI HAPO ukiona mwanamke au mwanamme ameanza kuona kero ya wivu wa mume au mke wake hiyo ni dalili mbaya katika ndoa yeyote ile,
 
Mapendo gani hayoooo. Awe anaenda nae kazin
Haya ni majibu ambayo yanasababisha ndoa nyingi zishindwe kudumu sababu watu wana sahau kuwa ndoa inapunguza baadhi ya uhuru na lazima ukubaliane na hilo

,lakin tatizo watu bado wanataka waendelee kuyafanya yale waliyo kuwa wakiyafanya kabla ya kuoa au kuolewa wakiwa kwenye ndoa zaozao, hili ni tatizo na ndoa zitawashinda wengi kwa kutafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu.ndoa ina miiko yake na ni tofauti na maisha ya kawaida usipo litambua hilo ni dhahiri utakuwa ni mtu wa kulalamikia ndoa miaka yote,

nipo kwenye ndoa miaka 14 sasa najua thamani ya ndoa yangu na ninajua ni kipi mke wangu hapendi na nisikifanye mbele yake hali kadharika na yeye anaheshimu hisia zangu , na sijawahi kuijutia ndoa yangu hata mara moja.migongano ipo na hutokea jambo ambalo ni la kawaida na huwa tunatumia busa na hekima ambazo mungu ametupa kutatua migogoro yetu ni kama tuna wahi mbaazi iliyo kauka kabla jua halijawaka sana ili isije ikapasuka na kuzirusha mbegu ambazo twaweza tusijue ziliko rukia na zitaokotwa na nani na atazifanyia nini , na maisha yanaendelea vyema kabisa
 
pole msaada ni wewe kutotengeneza mazingira ya kumuonyesha kuwa we si mwaminifu, mfano kutoongea na mwanaume acha au usifanye ajue , kuwa wazi kwake, fanya majukumu yako kama mama . ukienda kazini usiku jitahidi hata wewe uwe unamuanza kumchokoza ngoja nikuambie kitu wanaume wengi wanapenda kufuatiliwa sina maana ya kufokonyoa simu yake hapana .. maswali yale ya kijinga jinga umekula? upo wapi? mbona unaongea kama umebanwa huwa yanawakera hayo maswali lakini hiyo kero ndiyo wanaitaka ili wajione watu.. badilisha namna ya kuishi na mumeo .. halafu jifunze kuandika neno likaisha
Kwa kweli nimeona ku like tu haitosh kwa jinsi ujumbe wako ulivyo wazi, tatizo watu bado hawajui mipaka na miiko ya ndoa yaani mtu yupo kwenye ndoa llakini anataka aish kama sio mke au mume wa mtu na hapo ndipo sida inapo anzia asante miss chagga kwa hakika mume wako hana hasara kubwa kwako.
 
labda utakuwa mrembo sana ww but kazi yako nishaijua...... kiukweli kwa kazi yako wala asitie shaka,mwambie awe anakupeleka hasa unapokuwa night angalau kumpa matumaini.
Asipokuelewa hilo niambie tena tutafte lingine!
 
acha kazi lea ndoa. ndoa ni baraka ni wachache wanaofanikiwa kuipata hiyo baraka kama unampenda mumeo na unaona anaweza kuimudu kuilea familia bila kutegemea kipato chako. basi acha kazi maana huyo anakupenda tena anakupenda sana


Kwa wanaume hawa wa leo?
kazi usiache na pia angalia sana ni wivu kweli au ni anazuga...!
 
Hasiye na wivu, hana mapenzi

Ongeza kumjali mwenzako, ukipata mwanya text or call, mwambie everything you do (hadi ukienda kupupu [emoji3])
 
pole msaada ni wewe kutotengeneza mazingira ya kumuonyesha kuwa we si mwaminifu, mfano kutoongea na mwanaume acha au usifanye ajue , kuwa wazi kwake, fanya majukumu yako kama mama . ukienda kazini usiku jitahidi hata wewe uwe unamuanza kumchokoza ngoja nikuambie kitu wanaume wengi wanapenda kufuatiliwa sina maana ya kufokonyoa simu yake hapana .. maswali yale ya kijinga jinga umekula? upo wapi? mbona unaongea kama umebanwa huwa yanawakera hayo maswali lakini hiyo kero ndiyo wanaitaka ili wajione watu.. badilisha namna ya kuishi na mumeo .. halafu jifunze kuandika neno likaisha
Mama Temba mbona sijakuelewa ushauri wako kwake?
 
Hasiye na wivu, hana mapenzi

Ongeza kumjali mwenzako, ukipata mwanya text or call, mwambie everything you do (hadi ukienda kupupu [emoji3])
We Muhaya au vipi?,nini maana ya HASIYE? au ulimaanisha ASIYE?,halafu unamshauri mwenzio akienda kukata gogo amwambie mume wake?,huoni hiyo itamkata matamanio ya vulva mumewe?,coz mambo ya kunya ni siri ya mwana ndani ya mwanamuke?,coz akiweka wazi jinsi yale mavituz yanaanguka na kunuka huoni itapunguza mshawasha ya mwanaume kula uroda?
 
Doooh labda amfungulie biashara. Mwanaume umtegemee kila ki2 inafka hatua anachoka dharau ndo znaanzia hapo. Labda awe mwanaume kutoka sayari nyngine ndo acsumbue.
We Mrs Van mbona unaongea mambo ya sebene tu?,au unawashwa?,na kama unawashwa si useme wazi kwa wanaume wa JF?,sababu huna njia ya kutenganisha wapenzi wewe au vipi?,kama unawashwa mbona kuna Njemba kibao humu ambazo zinanuia kuwaondolea Kiu wanawake kama wewe?,tena UGWADU sugu huko kwenye ASHAKUM,yote ya kuchuruzika mshawasha wako au vipi?,marijali wako tayari KUKUKAMUA utoe uji wa chumvi wenye UOTO mlaiiiiniiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Kwa kweli ndoa ni baraka kubwa mno, but maisha ya binadamu hayaevolve around ndoa only, kuna maisha mengine baada ya ndoa, otherwise hata hiyo ndoa utaiona chungu

Ni wanaume wachache wenye uwezo wa kuhudumia familia Kwa 100% na wote mkaridhika na level ya hayo maisha. Wengi wetu tunaishi maisha ya kusaidiana, afu kuna kesho mume anaweza kukwama au hayupo, huyo mke kama hana kazi au hajazoea kutafuta, mbona akili itamkaa sawa. usawa wenyewe huu wa Magu, jamani waruhusuni tu wake zenu wawe watafutaji. Au ajiajiri au atafute kazi ambayo haina night shifts coz kazi za shifts nyingi ni changamoto tbh

Cha msingi bi dada akae chini ajievaluate mwenyewe wapi anapokosea and if possible akae azungumze na mumewe ajue tatizo liko wapi na wanalisolve vipi. Inawezekana mke kuna sehemu kweli anakosea, ajirekebishe. BTW mleta thread huu wivu umeanza kabla au baada ya ndoa?

Inawezekana pia mumewe ni insecure (kama ni kweli pole), maana kama hatoacha kazi basi atatumbuliwa tu. Ni ofisi ya nani utakayokuwa busy na simu za mumeo uache kuhudumia watu? si utafukuzwa ukawe customer care wa mumeo vizuri. Na kama mumewe ndo ana wivu kero, hata akiacha kazi, huko nyumbani akichelewa tu kupokea simu atajutraaa, au amkute anacheka na muuza genge, atapewa na nakozi mbona. Ni udhaifu wa mumeo, muombe tu Mungu akupe neema ya kuishi naye
Yaani umeongea kwa hisia makini lakini umechemsha,na yote hiyo ni sababu hujiamini mamii.
 
nakwambia ukweli nikiwa nna ushuhuda.
kuna demu wangu mmoja zamni flan hvi nilikua na wivu nae sana yaani kila afanyalo silidhiki ila siku alinambia nimechoka naomba kuanzia leo tuachane tu utafute mwengine unaeona anakuridhisha. nilikoma toka siku zile na nilinyooka
Ulinyooka sababu wewe ni maharagwe ya Mbeya au vipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom