Hi guyz habari zenu,
Kuna jambo linanitatiza na limekua kero sana kwangu, mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, tatizo mume wangu amekuwa ni mtu wa wivu kupita kiasi nikiongea na watu wa jinsia tofauti ni ugomvi hata majirani kukaa na kucheka nao nakatazwa eti naambiwa mke wa mtu huruhusiwi kuzoeana na watu.
Sometyms ata nikiwa kazini once akipiga simu isipopokelea inakuwa kesi hata nikimueleza kuwa nakuwa occupied na kazi haelewi anadai tu lazima nipo na mwanaume, pia kutokana na proffesion naingia nyt shift.
Hapo ndo huwa napata changamoto jamani napigiwa simu na kuambiwa niache kazu ninayofanya niongee nae in case sijapokea kutokana na ubize nitagombezwa mpaka nitakoma, kweli imefika mahali nimechoka.
Please nishaurini jamani.