Wivu wa mume wangu umekuwa kero

Wivu wa mume wangu umekuwa kero

Vumilia kidogo mkipata mtoto wa pili atatulia.
 
pole msaada ni wewe kutotengeneza mazingira ya kumuonyesha kuwa we si mwaminifu, mfano kutoongea na mwanaume acha au usifanye ajue , kuwa wazi kwake, fanya majukumu yako kama mama . ukienda kazini usiku jitahidi hata wewe uwe unamuanza kumchokoza ngoja nikuambie kitu wanaume wengi wanapenda kufuatiliwa sina maana ya kufokonyoa simu yake hapana .. maswali yale ya kijinga jinga umekula? upo wapi? mbona unaongea kama umebanwa huwa yanawakera hayo maswali lakini hiyo kero ndiyo wanaitaka ili wajione watu.. badilisha namna ya kuishi na mumeo .. halafu jifunze kuandika neno likaisha
Umenena dada
 
Hi guyz habari zenu,

Kuna jambo linanitatiza na limekua kero sana kwangu, mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, tatizo mume wangu amekuwa ni mtu wa wivu kupita kiasi nikiongea na watu wa jinsia tofauti ni ugomvi hata majirani kukaa na kucheka nao nakatazwa eti naambiwa mke wa mtu huruhusiwi kuzoeana na watu.

Sometyms ata nikiwa kazini once akipiga simu isipopokelea inakuwa kesi hata nikimueleza kuwa nakuwa occupied na kazi haelewi anadai tu lazima nipo na mwanaume, pia kutokana na proffesion naingia nyt shift.

Hapo ndo huwa napata changamoto jamani napigiwa simu na kuambiwa niache kazu ninayofanya niongee nae in case sijapokea kutokana na ubize nitagombezwa mpaka nitakoma, kweli imefika mahali nimechoka.

Please nishaurini jamani.
Huo wivu umeanza baada ya kuoana?!
 
M
acha kazi lea ndoa. ndoa ni baraka ni wachache wanaofanikiwa kuipata hiyo baraka kama unampenda mumeo na unaona anaweza kuimudu kuilea familia bila kutegemea kipato chako. basi acha kazi maana huyo anakupenda tena anakupenda sana
Mmh! Aache kazi tena!!!!.
 
We

Wewe Unafikiri kimwendokasi!
nakwambia ukweli nikiwa nna ushuhuda.
kuna demu wangu mmoja zamni flan hvi nilikua na wivu nae sana yaani kila afanyalo silidhiki ila siku alinambia nimechoka naomba kuanzia leo tuachane tu utafute mwengine unaeona anakuridhisha. nilikoma toka siku zile na nilinyooka
 
Mtu mwenye wivu ujue ni muhuni sana anahisi anavyovifanya na ww unafanya nshaona hii kitu asilimia nyingi sana ya watu wenye wivu wapo hvyo
 
pole msaada ni wewe kutotengeneza mazingira ya kumuonyesha kuwa we si mwaminifu, mfano kutoongea na mwanaume acha au usifanye ajue , kuwa wazi kwake, fanya majukumu yako kama mama . ukienda kazini usiku jitahidi hata wewe uwe unamuanza kumchokoza ngoja nikuambie kitu wanaume wengi wanapenda kufuatiliwa sina maana ya kufokonyoa simu yake hapana .. maswali yale ya kijinga jinga umekula? upo wapi? mbona unaongea kama umebanwa huwa yanawakera hayo maswali lakini hiyo kero ndiyo wanaitaka ili wajione watu.. badilisha namna ya kuishi na mumeo .. halafu jifunze kuandika neno likaisha

Nimekupenda bure mpendwa....
 
acha ujinga yaan jambo dogo hilo linakukera kwenye ndoa hadi uelezehuku? unaona hao majirani kupiga nao umbea ni zaidi ya ndoa yako? usipopiga nao story unapungua nini?
wasalimie kawaida fanya yako! halafu mpe ratiba yako ya kazini aelewe mda ambao uko busy sana huwezi pokea simu.

Ukipigiwa simu kama yupo weka loudspeaker yaishe. Ama mwenzangu una jambo lakuficha??
 
Kwa kweli ndoa ni baraka kubwa mno, but maisha ya binadamu hayaevolve around ndoa only, kuna maisha mengine baada ya ndoa, otherwise hata hiyo ndoa utaiona chungu

Ni wanaume wachache wenye uwezo wa kuhudumia familia Kwa 100% na wote mkaridhika na level ya hayo maisha. Wengi wetu tunaishi maisha ya kusaidiana, afu kuna kesho mume anaweza kukwama au hayupo, huyo mke kama hana kazi au hajazoea kutafuta, mbona akili itamkaa sawa. usawa wenyewe huu wa Magu, jamani waruhusuni tu wake zenu wawe watafutaji. Au ajiajiri au atafute kazi ambayo haina night shifts coz kazi za shifts nyingi ni changamoto tbh

Cha msingi bi dada akae chini ajievaluate mwenyewe wapi anapokosea and if possible akae azungumze na mumewe ajue tatizo liko wapi na wanalisolve vipi. Inawezekana mke kuna sehemu kweli anakosea, ajirekebishe. BTW mleta thread huu wivu umeanza kabla au baada ya ndoa?

Inawezekana pia mumewe ni insecure (kama ni kweli pole), maana kama hatoacha kazi basi atatumbuliwa tu. Ni ofisi ya nani utakayokuwa busy na simu za mumeo uache kuhudumia watu? si utafukuzwa ukawe customer care wa mumeo vizuri. Na kama mumewe ndo ana wivu kero, hata akiacha kazi, huko nyumbani akichelewa tu kupokea simu atajutraaa, au amkute anacheka na muuza genge, atapewa na nakozi mbona. Ni udhaifu wa mumeo, muombe tu Mungu akupe neema ya kuishi naye

Bonge la ushauri...hongera sana mpendwa Heaven Sent
 
Tatizo la baadhi ya wanawake hawajui kutofautisha jinsi ya kuishi kabla ya ndoa na baada ya ndoa.Ukiolewa punguza mazoea na watu wa jinsia ya ME vilevile na wanawake ambao huwa hawana mipaka mara akutanie kua wifi mara nini hii huwa mara nyingi wanaume wengi wanaowapenda sana wake zao hawapendezwi na haya mambo.Simubunakuta nyingi ni za wanaume tena mke anaongea nao muda mwingi hadi mumewe anakuabored,hii haipendezi na mara nyingi wanawake wa hivyo huwa wanakua ni watu wasiokua na wivu kwa waume zao kwasababu haja zao hutimizwa na watu wengine hivyo kuwaona waume zao kama wanawabana pale wanapowaonea wivu.
 
Hayo ndio mahaba wewe usipofatiliwa nae ungelalamika na inaonekana umejaaliwa ndoo maana mwenzio anaumia
 
pole msaada ni wewe kutotengeneza mazingira ya kumuonyesha kuwa we si mwaminifu, mfano kutoongea na mwanaume acha au usifanye ajue , kuwa wazi kwake, fanya majukumu yako kama mama . ukienda kazini usiku jitahidi hata wewe uwe unamuanza kumchokoza ngoja nikuambie kitu wanaume wengi wanapenda kufuatiliwa sina maana ya kufokonyoa simu yake hapana .. maswali yale ya kijinga jinga umekula? upo wapi? mbona unaongea kama umebanwa huwa yanawakera hayo maswali lakini hiyo kero ndiyo wanaitaka ili wajione watu.. badilisha namna ya kuishi na mumeo .. halafu jifunze kuandika neno likaisha
Kumbe ukituliaga unaongeaga pointi?
 
Kabla ya kukushauri,

Umeanza Kazi kabla au baada ya kuolewa?huwa anakuridhisha kunako Sita?isije kua anajua anaweakness kwaiyo anatafuta namna ya kuibalance,
Ushawai kuongea nae namna usivofulaishwa Na hiyo tabia yake?any way ww umewazaje,maana mpaka umekuja hapa kuna ulicho fikiri?
You have a gud background with a guy mpaka akawa mume,kwaiyo ww ndio uko na chance yakutoa judgement/advise nzuri zaidi kuliko sisi,tupe full background,unachofikiria kwa ulipo fikia then sisi tukusaidie kupima.

Anyway,just a loud think
 
Bonge la ushauri...hongera sana mpendwa Heaven Sent
Tatizo la huyu dada lipo kwenye post yake ya siku za nyuma. Alikiwa analalamika kuwa mme wake yupo mbali na siku akirudi anakuwa na hamu naye sana ila wakifanya tendo hamu inaisha na hataki amsogelee . Sasa kama jamaa karudi moja kwa moja si atakuwa anamvaliwa jeans usiku? Sasa hapo anategemea nini zaidi ya jamaa yake kuwa na wasiwasi naye. Kama mlivyo mshauri, ajiangalie mwenyewe. Anatengeneza mazingira ya kutiaminiwa mwenyewe na tatizo analifahamu-anakosa hamu.
 
acha kazi lea ndoa. ndoa ni baraka ni wachache wanaofanikiwa kuipata hiyo baraka kama unampenda mumeo na unaona anaweza kuimudu kuilea familia bila kutegemea kipato chako. basi acha kazi maana huyo anakupenda tena anakupenda sana

Acha kazi... Lea Ndoa... Duhhhh..... is this applicable karne hii kweli???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom