Hahahaaaa sio kwa kumbavu zangu mimiAnajua uko JF?
Ha Ha Ha. Hata na wewe huelewagi? Kwani umezeeka?Kama ndo amekwandikia meseji kwenye simu unamchunia mpaka baadae akikupigia unamwambia uliiona meseji lakini hukuielewa.
Saana tu mamii?
hongera sana mkuu. nisamehe kwa majibu mafupi ndo akili yangu ilikofikia.Haya ni majibu ambayo yanasababisha ndoa nyingi zishindwe kudumu sababu watu wana sahau kuwa ndoa inapunguza baadhi ya uhuru na lazima ukubaliane na hilo
,lakin tatizo watu bado wanataka waendelee kuyafanya yale waliyo kuwa wakiyafanya kabla ya kuoa au kuolewa wakiwa kwenye ndoa zaozao, hili ni tatizo na ndoa zitawashinda wengi kwa kutafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu.ndoa ina miiko yake na ni tofauti na maisha ya kawaida usipo litambua hilo ni dhahiri utakuwa ni mtu wa kulalamikia ndoa miaka yote,
nipo kwenye ndoa miaka 14 sasa najua thamani ya ndoa yangu na ninajua ni kipi mke wangu hapendi na nisikifanye mbele yake hali kadharika na yeye anaheshimu hisia zangu , na sijawahi kuijutia ndoa yangu hata mara moja.migongano ipo na hutokea jambo ambalo ni la kawaida na huwa tunatumia busa na hekima ambazo mungu ametupa kutatua migogoro yetu ni kama tuna wahi mbaazi iliyo kauka kabla jua halijawaka sana ili isije ikapasuka na kuzirusha mbegu ambazo twaweza tusijue ziliko rukia na zitaokotwa na nani na atazifanyia nini , na maisha yanaendelea vyema kabisa
ila mnapenda kuulizwasiyapendi haya maswali
Nimeielewa hiii.... yan mm nakerekaga sana kuwa na mwanamke sio mchokozi! Kila kitu nianze mimi khaaaaaaapole msaada ni wewe kutotengeneza mazingira ya kumuonyesha kuwa we si mwaminifu, mfano kutoongea na mwanaume acha au usifanye ajue , kuwa wazi kwake, fanya majukumu yako kama mama . ukienda kazini usiku jitahidi hata wewe uwe unamuanza kumchokoza ngoja nikuambie kitu wanaume wengi wanapenda kufuatiliwa sina maana ya kufokonyoa simu yake hapana .. maswali yale ya kijinga jinga umekula? upo wapi? mbona unaongea kama umebanwa huwa yanawakera hayo maswali lakini hiyo kero ndiyo wanaitaka ili wajione watu.. badilisha namna ya kuishi na mumeo .. halafu jifunze kuandika neno likaisha
kuna kuwa hamna mshike mshike ndaniNimeielewa hiii.... yan mm nakerekaga sana kuwa na mwanamke sio mchokozi! Kila kitu nianze mimi khaaaaaaa
yeah! Yan hadi rahakuna kuwa hamna mshike mshike ndani
pole sana ..jamaa wa wapi ...ndoa sio jela au utumwaila kwako ni utiifu kwake...jaribu kufanya anachotaka maana ndoa ni uvumilivu pia...wivu ni kuwa anakupenda thou ameshindwa u handle hali ya kuktreat vipi....... muwe marafiki mkishaoana na mtakaavizuriHi guyz habari zenu,
Kuna jambo linanitatiza na limekua kero sana kwangu, mwenzenu nimeolewa na nina mtoto mmoja, tatizo mume wangu amekuwa ni mtu wa wivu kupita kiasi nikiongea na watu wa jinsia tofauti ni ugomvi hata majirani kukaa na kucheka nao nakatazwa eti naambiwa mke wa mtu huruhusiwi kuzoeana na watu.
Sometyms ata nikiwa kazini once akipiga simu isipopokelea inakuwa kesi hata nikimueleza kuwa nakuwa occupied na kazi haelewi anadai tu lazima nipo na mwanaume, pia kutokana na proffesion naingia nyt shift.
Hapo ndo huwa napata changamoto jamani napigiwa simu na kuambiwa niache kazu ninayofanya niongee nae in case sijapokea kutokana na ubize nitagombezwa mpaka nitakoma, kweli imefika mahali nimechoka.
Please nishaurini jamani.
Umenena kweli mrembo wewe.Vitu vingine ni vya kusoma huku JF na kufurahisha macho ila ni Non applicable Kwa maisha yetu ya sasa....