Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,817
mmh kama hiyo ndo sababu kuu huyo jamaa ni MWENDAWAZIMU.
Inawezekana mwenzako aliwekeza pakubwa, sasa roho inamuuma!Ah wapi hilo nilishakataa maishani mwangu.
Sasa kiwekeza sii ujinga wake. Wee unawekeza kwa mtu anayetembea na mgodi wake katikati ya mapajaInawezekana mwenzako aliwekeza pakubwa, sasa roho inamuuma!
Na hapo case imeisha....Kama kawaida kwa polisi wetu maneno "Wivu wa Mapenzi" ndio njia ya mkato!
Hata ukiwa naye mkuu, yaweza kuwa wewe kakuweka kama picha ya samaki analumangila dona.Yaani wanaume tunakosea wapi? Wee ukaweke moyo wako kwa mtu amvaye alitusaliti toka mwanzo wa dunia.
Wee jigegegdee tuu... Wako wakati unamgegeda akishaondoka ni wa yoyote yule.